NA NEHEMIAH OKWEMBAH WASHIKADAU katika sekta ya utalii kutoka Kenya na taifa jirani la Uganda wameimarisha mipango ya kuboresha uhusiano mwema wa nchi hizi mbili ili kuboresha utalii. Viongozi katika sekta hiyo waliandaa kongamano maalumu katika hoteli ya Ocean Beach mjini Malindi, Kaunti ya Kilifi katika msururu wa tamasha ambazo zinanuia kuuza sehemu mbalimbali ili […]