NA PAULINE ONGAJI akiwa SHARM EL-SHEIKH, MISRI KENYA imetajwa kuwa miongoni mwa nchi zitakazonufaika na ufadhili wa zaidi ya Sh42 bilioni kutokana na hazina mpya ya uhifadhi wa mazingira, iliyozinduliwa na mashirika ya Nature People na Climate Investment Program (NPC), iliyozinduliwa hivi majuzi na hazina Climate Investment Fund (CIF). Habari hii ilitangazwa na afisa mkuu […]