NA WINNIE ATIENO SERIKALI ya Kaunti ya Mombasa imeondoa marufuku dhidi ya uogeleaji katika fuo zake. Waziri wa Utalii na Biashara, Bw Mohamed Osman, alisema marufuku hayo yameondolewa baada ya tishio la kimbunga Hidaya kuisha. Hata hivyo Bw Osman aliwaonya wakazi na watalii wanaopanga kuzuru fuo za Mombasa kuwa waangalifu mvua ikiendelea kunyesha eneo la […]