Na WINNIE ATIENO WADAU katika sekta ya utalii wanategemea amani wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu mwaka ujao kuona iwapo biashara zao zilizoathiriwa na janga la corona zitafufuka. Wadau hao wanasema kwamba amani ni muhimu kwa kufufua sekta hiyo kabla, wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Agosti 2022 na kwa hivyo wanasiasa wanafaa kudumisha […]