NA JANET KAVUNGA MTWAPA MJINI ILIKUWA sinema ya bure kwa wenyeji wa hapa kahaba mmoja maarufu eneo hili aliposimulia jinsi mteja wake alivyobadilika ghafla na kuwa jini kabla ya kutoweka. Demu huyo alidai kwamba, alipata mteja aliyeahidi kumpa donge kwa huduma za usiku kucha. Walikodi chumba cha kulala katika hoteli moja mjini na hali ilikuwa […]