NA RICHARD MUNGUTI HOTELI ya Keekorok Lodge imeagizwa na Mahakama Kuu ilipe familia ya mtalii Luo Jinli, raia wa China, Sh23 milioni kama fidia kufuatia kifo chake kilichotokea mwaka 2016. Mtalii huyo alidungwa kisu na mtalii mwenzake waking’ang’ania nafasi kwenye meza wakati wa chakula cha alasiri baada ya kurejea hotelini baada ya matembezi katika mbuga […]