Na RICHARD MUNGUTI DADA wawili waliodai walichapwa na kujeruhiwa na ndugu pacha katika hoteli moja jijini Nairobi Oktoba 2021, walisema Jumatatu wako tayari kujibu mashtaka. Kupitia kwa wakili Philip Murgor anayewakilisha dada hao Stephanie Murgor na Cheryl Murgor, walisema wako tayari kufika kortini lakini akaeleza masikitiko yake jinsi Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (DPP) Bw […]