
Jihan: Nazimizye Mdolo kapigana sana mimi kupata ushindi
Jihan: Nazimizye Mdolo kapigana sana mimi kupata ushindi
Category
Match reports, transfers and results from East African football and leagues worldwide, plus athletics, basketball and the biggest stories in global sport.

Jihan: Nazimizye Mdolo kapigana sana mimi kupata ushindi

“It will give eligible low-income retirees access to essential healthcare at no cost to them, beginning with 30,000 retirees”

The single-lane federal highway links several agrarian communities and serves as a major gateway from Delta to Edo and Kogi and the North

A Kenyan court has convicted pastor Paul Mackenzie of murdering 191 people, including 190 children, after he allegedly directed members of his religious group to starve themselves and their children to death to “meet Jesus”.

A chieftain of the All Progressives Congress (APC), Dr Musa Iliyasu Kwankwaso, has said former Vice President Atiku Abubakar cannot rely on ethnic and religious sentiments to win support in northern Nigeria ahead of the 2027 presidential election.

Manchester City defender Marc Guehi believes taking the knee before football matches may have lost some of its impact saying more can be done to tackle racism.





KOCHA Mkuu wa Kagera Sugar, Mrundi Cedric Kaze amesema kuiongoza timu hiyo katika mechi mbili na kupata pointi nne kati ya sita ni jambo linalovutia, huku akiwataka wachezaji wa kikosi hicho kuendelea kupambana kutokana na ushindani uliopo.

SINGIDA Black Stars imeanza kampeni ya kuwania kufuzu hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa ushindi wa ugenini wa bao 1-0 dhidi ya Tusker FC ya Kenya, huku kocha wake akiahidi mambo makubwa.

The Court of Arbitration for Sport (CAS) announced Monday that a verdict on Senegal's appeal of the decision to strip them of the Africa Cup of Nations title in favour of Morocco is expected at the end of November.

Paris Saint-Germain host Barcelona on Tuesday in the standout clash of Champions League Matchday 3, with Bayern Munich and Arsenal meeting in another heavyweight tie on Wednesday.

Olympique de Marseille’s official store on the city’s La Canebière avenue was looted during weekend unrest, the Ligue 1 club said on Monday.

DAR ES SALAAM: THE Minister for Information, Culture, Arts and Sports, Paul Makonda, has inspected progress on renovation works at Benjamin Mkapa Stadium in Dar es Salaam as the country steps up preparations for the 2027 Africa Cup of Nations (AFCON). Makonda was accompanied by former Chelsea FC and Ivory Coast national team star Didier…

DAR ES SALAAM: Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amezitaka klabu za soka nchini, ikiwemo Simba na Yanga, kuangalia uwezekano wa kuanzisha timu za mpira wa kikapu, ili kupanua wigo wa uwekezaji na kuongeza ushindani katika michezo. Akizungumza kwenye fainali ya Ligi ya Kikapu Dar es Salaam kati ya Dar City dhidi…

MOROGORO: ZAIDI ya vijana 20,000 walioshiriki Tamasha la Sara Msafiri Festival 2026 wilayani Mvomero, mkoani Morogoro, wamehimizwa kuunda vikundi vya ujasiriamali vilivyosajiliwa ili waweze kunufaika na fursa za mikopo ya Halmashauri na kujikwamua kiuchumi. Wito huo umetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Mvomero, Richard Kasesela, wakati wa kufunga mashindano ya tamasha hilo yaliyofanyika katika Uwanja…

IKUNGI, SINGIDA: The Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) in Singida region has introduced a new strategy of using traditional dance to educate the public on the effects of corruption and the importance of integrity in society. This was demonstrated during a traditional dance festival held in Iyumbu ward, Ikungi district, Singida over the…

Cameroon star Bryan Mbeumo scored his fourth Premier League goal this season for struggling Manchester United in a 1-1 away draw against Leeds United at the weekend.

DAR ES SALAAM: FORMER Chelsea and Ivory Coast striker, Didier Drogba, has urged Tanzania to make the 2027 Africa Cup of Nations (AFCON) a lasting experience for visitors by showcasing the country’s tourism, culture and cuisine beyond the football matches. Drogba said Tanzania should use the continental competition to showcase its food, culture and hospitality…

The Lagos State chapter of the All Progressives Congress (APC) has said presidential candidate of the Nigeria Democratic Congress (NDC), Peter Obi, risks losing his political capital ahead of the 2027 general elections if he fails to demonstrate ideological consistency and organisational depth.

DAR ES SALAAM: Dar City imetetea ubingwa wa Ligi ya Mkoa wa Dar es Salaam kwa mara ya tatu mfululizo baada ya kuichapa Stein Warriors pointi 66-50 katika mchezo wa mwisho wa fainali uliochezwa jana usiku kwenye Uwanja wa IST, Masaki. Ushindi huo umeifanya Dar City kufunga mfululizo wa fainali kwa ushindi wa michezo mitatu…

TIMU ya Dar City imetetea ubingwa wake wa Ligi ya Kikapu ya Dar es Salaam (BDL), baada ya kushinda michezo mitatu mfululizo kati ya mitano dhidi ya Stein Warriors.

Kylian Mbappe scored twice including one brilliant individual goal as Real Madrid thrashed Sevilla 4-1 on Sunday to climb into third in La Liga.

Michael Carrick said Manchester United's hard-fought 1-1 draw at bitter rivals Leeds on Sunday felt like a "fresh start" even though their long wait for a win goes on.

Makamu wa Rais wa Tanzania, Deogratius John Ndejembi amesema anatamani kuona siku moja ushindani wa timu za Yanga, Simba, Azam FC na nyingine ukihamia kwenye Mpira wa Kikapu nchini kwa lengo la kuukuza.

Noni Madueke's late goal sealed Arsenal's 1-0 win over Nottingham Forest on Sunday as the champions survived a scrappy display to close the gap on Premier League leaders Manchester City.

Barcelona defenders Eric Garcia and Jules Kounde have sustained injuries ahead of important matches against Paris Saint-Germain in the Champions League and Real Madrid in La Liga, the Spanish champions said Sunday.

Manchester United’s winless run extended to six games after Leeds United held Michael Carrick’s side to a 1-1 draw in the Premier League at Elland Road on Sunday.




KOCHA wa Azam FC, Florent Ibenge, amesema kikosi chake kina kazi kubwa ya kufanya katika mchezo wa marudiano dhidi ya ZED FC ya Misri ili kufuzu hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika.

Lisandro Martinez was named in Manchester United's starting line-up to face Leeds on Sunday despite his controversial remarks about the struggling club's hierarchy.

BINGWA wa zamani wa dunia katika ndondi za kulipwa, Terence “Bud” Crawford, amekubali kuwa mlezi wa Ligi ya Ngumi za Kulipwa Tanzania, Dunda, inayolenga kuibua na kukuza vipaji vya mabondia chipukizi nchini.

KIUNGO wa Azam FC, Himid Mao amesema licha ya kutoka sare ya bao 1-1 dhidi ya ZED FC ya Misri mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika anaamini bado mechi ya marudiano ipo wazi kwa timu zote.

SERIKALI na wadau wa michezo nchini wametakiwa kuongeza juhudi za kuendeleza mchezo wa pickleball ili kuukuza, kuongeza umaarufu wake na kufungua fursa za ajira kwa vijana.

Kiungo mshambuliaji wa Tanzania, Ben Starkie ameendelea kuonyesha kiwango bora kwenye kikosi cha Truro City ya England ambako yuko kwa mkopo akitokea Harborough Town FC ya nchi hiyo.

KIUNGO Mshambuliaji Mtanzania anayekipiga Riga FC ya Latvia, Mandeke Jr amesema kufika hatua ya makundi ya mashindano ya UEFA akiwa na klabu hiyo ni hatua kubwa kwake, lakini amesisitiza bado hajafikia malengo makubwa aliyojiwekea katika safari yake ya soka la kulipwa Ulaya.

MSHAMBULIAJI wa Tanzania, Clara Luvanga anaendelea kuonyesha dalili za kuimarika katika kikosi cha Washington Spirit ya Marekani, baada ya kuanza kwenye kikosi cha kwanza kilichoibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Gotham FC, Oktoba 17.

Canada has announced changes to its Express Entry immigration system, introducing additional permanent residence points for eligible workers with Canadian work experience or qualifying job offers in high-wage occupations from November 3, 2026.

FASHONI JE, unafahamu kuwa rangi unayopendelea kurembesha kucha zako ina maana zaidi? Wataalam wa urembo wanasema rangi ya kucha unayoteua inaweza kufichua jambo tofauti kabisa kukuhusu kama mtu binafsi. Kuanzia kujiamini, ukakamavu, ubunifu, kujituma, kuwa na mtazamo chanya kuhusu maisha na unavyochukulia mahusiano, ni baadhi ya sifa zinazodokezwa na uteuzi wa rangi unayopendelea kutia nakshi kucha zako. Iwapo wewe ni mraibu wa kufuga na kurembesha kucha zako za miguu na mikono, bila shaka kuna rangi mbili au tatu unazoteua kirahisi hata bila ya kuwaza sana ambazo unaamini hukupa matokeo bora kila wakati. Mtaalam wa Urembo wa Kucha Joy Verm anaeleza kuwa “rangi ile ile, msimu baada ya msimu, inayochaguliwa hata bila kufikiria sana kwa sababu tu za urembo.” Kulingana na naye, “saikolojia inayohusu rangi ya kucha inaashiria mambo tofauti kabisa.” Tafiti zinaashiria mfumo unaoelekeza chaguo hizo ambao kiini chake sio sifa ya mtu binafsi bali jinsi ubongo unavyotafsiri rangi katika kiwango husika hata kabla ya kufahamu rangi unayoipendelea. Saikolojia ya rangi ya kucha hutumia kanuni ya saikolojia ya rangi kanuni inayochanganua jinsi rangi tofauti huathiri hisia, fikra na tabia ikiwemo teuzi maamuzi mahsusi ya watu wanapochagua rangi za kurembesha kucha zao. Rangi ya kucha hukaa machoni pako siku kutwa. Unaona mikono yako kila wakati iwe unapokula, kuzungumza, kuoga, kuandika, au kupiga chapa. Hali hiyo ina maana kuwa rangi unayoteua katika kituo cha urembo inasheheni aina fulani ya athari endelevu kwa hali ya hisia zako mchana kutwa. Leo hii tutajifahamisha kuhusu rangi unayoipendelea na inavyosema kukuhusu. Pinki au nude Aghalabu hupuuzwa kama “chaguo salama.” Hata hivyo huashiria mambo tofauti kabisa. Pinki inaashiria kutangamana kirahisi, uwazi kijamii na ukarimu. Pinki iliyokolea (fucschia, magenta) - uchangamfu, uwezo wa kufanya maamuzi thabiti, na mamlaka legevu. Nude - inaashiria “kupuuzwa kimaksudi, kutulia, kujishughulisha na nafsi yako na kukosa hamu ya kelele za mwonekano. Katika tasnia za taaluma, inaonyesha ustaarabu badala ya kukosa kuonekana. Bluu, samawati au nili Inaashiria utulivu, uthabiti kihisia na kupendelea uelewa wa kina badala ya maonyesho na kujishaua. Inahusishwa na uaminifu na weledi ndiposa imebobea katika tasnia za kitaaluma. Samawati inaegemea uwazi na kutangamana kirahisi huku bluu iliyokolea ikionyesha maarifa na kujiamini kisanaa. Nyeusi Uhuru, kujiamini kiubunifu na kustahimili kutoeleweka. Ukiwa unapenda rangi hii, inaashiria kuwa unathamini uhuru kisaikolojia na tafsiri yako binafsi kuhusu kinachofaa badala ya kufuata tu matarajio au itikadi zilizopo. Nyekundu Inahusishwa na ujasiri, kupenda kuangaziwa, uchangamfu, mshawasha, nguvu na kujiamini Wanaopenda kujitokeza kwa kishindo, hawaogopi kujihatarisha. Rangi mseto (dopamine) Huundwa kwa nia ya kuibua hisia chanya. Mseto wa hot pink, rangi ya machungwa na manjano iliyokolea unahusishwa na viwango vya huu vya kuboresha hisia. Huonyesha furaha, matumaini na kujiamini. Badala ya kuashiria si moja thabiti, kucha zilizopakwa mseto wa rangi zinaashiria kupenda aina anuai, kushtukizia, na kufanya mambo kwa mtindo wako,

UJAUZITO NA UZAZI WANAWAKE wenye mimba wanashauriwa kuzingatia lishe bora na salama kiafya ikiwemo kula aina tofauti za samaki (seafood) mara kwa mara ili kuzuia baadhi ya matatizo sugu yanayowaathiri watoto wachanga. Utafiti mpya umehusisha chango (colic) na eczema, matatizo yanayoathiri watoto wachanga, na chakula anachokula mwanamke mjamzito kabla ya kujifungua. Watoto wachanga waliozaliwa na kina mama waliozingatia lishe bora kiafya, wana kiwango cha chini cha tishio la kuugua chango na eczema, kulingana na wataalam. Aidha, utafiti huo uliashiria ulaji wa seafood mara kwa mara kwa wanawake wajawazito husaidia kupunguza tishio la watoto wachanga la kuathiriwa na matatizo haya. Tafiti za awali zimeonyesha kuwa watoto wanaoathiriwa na chango wana uwezekano mkubwa wa kuugua matatizo sugu kiafya baadaye maishani ikiwemo mzio wa chakula, mzio wa pua na ugonjwa wa pumu. Katika utafiti mpya ambao ni wa kwanza kuchunguza uhusiano huu, wanasayansi walitathmini jjinsi lishe wakati wa ujauzito inavyoweza kuchangia chango, na hususan mseto wa chango na eczema. Professor wa Matibabu ya Watoto katika Chuo cha Harvard Medical School, Jenifer Lightdale, anafafanua kuwa watoto wachanga wanaoathiriwa na mchanganyiko wa chango na eczema wana tishio la juu zaidi la kukumbwa na maradhi ya mzio wanapokua. Wanawake wajawazito zaidi ya 1,300 walishirikishwa katika utafiti huu ambapo lishebora kiafya ilijumuisha ulaji kwa wingi wa matunda, mboga, nafaka isiyosafishwa, maharage, viwango vya chini vya mafuta, protini na maziwa. Vyakula vya nyama nyekundu au iliyopakiwa, vinywaji vilivyoongezwa sukari, chumvi na nafaka iliyosafishwa vilijumuisha lishe duni kiafya. Washiriki pia waliripoti kuhusu ulaji wa vyakula vinavyofahamika kuchochea mzio ikiwemo njugu karanga, samli ya njugu karanga, mayai, maziwa, samaki wenye mapezi na wasio nayo. “Matokeo yetu yanatoa sababu nyingine ya kusaidia wanawake wenye mimba kufanikisha lishe bora inayowiana kiafya, hasa kusisitiza ulaji wa seafood,” alisema kiongozi wa utafiti Emily Oken. Alifafanua kuwa, ingawa kina mama hutamani kufanya kila wawezalo kwa manufaa ya watoto wao wachanga, aghalabu hukumbana na vizingiti kifedha na vinginevyo katika juhudi za kupata lishebora kiafya.

SAFARI ya kutafuta malkia mpya wa soka la wanawake nchini inaanza rasmi Oktoba 28, 2026, wakati Ligi Kuu ya Wanawake Bara (WPL) msimu wa 2026/27 ikitarajiwa kufungua pazia la vita ya kuwania ubingwa kwa mechi sita kupigwa katika viwanja mbalimbali.

BEKI wa kulia wa Simba Queens, Fatuma Issa ‘Fetty Densa’ amesema kujitunza, kufanya mazoezi na kuheshimu maelekezo ya makocha ni miongoni mwa mambo yanayomsaidia kudumu kwa muda mrefu katika kikosi hicho huku akiendelea kuonyesha kiwango kinachomweka kwenye ushindani wa namba.

KOCHA wa Alliance Girls, Sultan Juma amesema timu hiyo inaendelea kufanyia kazi mapungufu yaliyojitokeza katika mechi za kirafiki na eneo la ulinzi ni miongoni mwa sehemu zinazohitaji maboresho kabla ya kurejea kwa Ligi Kuu ya Wanawake.

KIUNGO wa zamani wa Yanga Princess, Simba Queens na JKT Queens, Amina Ally amesema ana matumaini ya kurejea uwanjani mwakani au dirisha dogo la usajili na bado yupo kwenye hatua za kupona majeraha ya goti na mkono aliyoyapata akiwa Simba Queens.

LIGI Daraja la Kwanza Kanda ya Unguja imeendelea huku timu nne zikishindwa kupata ushindi wowote tangu kuanza kwa ligi hiyo msimu wa 2026-2027.

KIPA wa KVZ, Idrissa Mguya 'Zungu amesema licha ya kukosa namba kwenye kikosi hicho bado anaamini ana uwezo wa kucheza katika ligi yoyote kwa kiwango chake.