Match reports, transfers and results from East African football and leagues worldwide, plus athletics, basketball and the biggest stories in global sport.
The Ligue 1 match between Toulouse and Troyes this weekend has has pushed back a day at the request of local authorities struggling to contain unrest in France, the French league (LFP) announced on Wednesday.
Barcelona winger Lamine Yamal has been ranked sixth among the world’s highest-paid footballers in 2026, with estimated earnings of $55 million, according to Forbes.
The Ligue 1 match between Toulouse and Troyes this weekend has been pushed back a day at the request of local authorities struggling to contain unrest in France, the French league (LFP) announced on Wednesday.
UTANGULIZI Katika ramani ya kubuni ya Afrika kuna nchi moja iliyoko katika pembe moja ya Afrika inaitwa Kamisa. Mji mkuu wake ni Maloto. Ni nchi ya kidemokrasia ambayo miaka michache nyuma iliingia katika mfumo wa vyama vingi vya kisiasa chini ya rais wake Abdallah Heris. Katika uchaguzi wake wa kwanza chini ya mfumo wa vyama vingi, chama tawala cha Wananchi na Maendelea (WM) kilivishinda vyama viwili vya upinzani, Umoja na Maendeleo (UM) na Maendeleo Haki na Usawa (MHU) vilivyoshiriki katika uchaguzi huo wa kwanza. Hivi sasa uchaguzi mwingine umekaribia. Vyama vya siasa vimeanza kujichua ili kujitosa katika uchaguzi huo kila kimoja kikitarajia kushinda. Tayari chama cha UM kimemteua mwenyekiti wa chama hicho, Max Shanga kugombea urais kupitia chama hicho. Max Shanga ni kijana mwenye umri wa miaka arobaini na mitano. Ana sifa ya uchapaji kazi na ukereketwa wa maendeleo. Aliwahi kuwa waziri katika serikali iliyopita kabla ya kujiunga na chama cha upinzani. Lakini anakabiliwa na changamoto kubwa ya kupata urais kwani anachuana na wagombea wawili ambao pia wanakubalika kwa wananchi akiwemo mgombea wa chama tawala. Hilo ndilo jambo linalomtia wasiwasi… SASA ENDELEA ALIKUWA amemaliza kula chakula cha usiku pamoja na mke wake, mtumishi wao alipowafuata na kuwambia. “Kuna mtu anabisha kwenye mlango” “Ni nani?” Max Shanga akamuuliza. “Sijui ni nani?” “Umemuuliza anamtaka nani?” “Amesema anakuhitaj wewe” “Mkaribishe sebuleni, ninakuja…” “Si ungekwenda kumuona kwanza…? Mke wake alimkatiza. “Nimeshakuwa mtu wa watu, mgombea urais. Natakiwa niwe na sifa ya ukarimu na ucheshi kwa kila mtu, ninayemjua na nisiyemjua…” Shanga aliondoka kwenye kiti na kwenda sebuleni. Alimuona mtumishi wake akikakaribisha wageni wawili. Wote wawili walikuwa wamevalia suti nyeusi na tai. Mara tu baada ya kuwaangalia, Shanga aligundua kuwa sura zao hazikuwa ngeni machoni mwake inagawa hakuweza kutambua mara moja walikuwa kina nani. Alihisi huenda walikuwa wanachama wa chama chake au watu aliokuwa akikutana nao katika harakati zake za kisiasa. “Karibuni sana,” Shanga aliwambia akiwa amesimama katikati ya sebule akiwasubiri. “Asante mheshimiwa,” mmoja wa watu hao alimjibu Shanga na kumpa mkono. “Habari ya jioni?” “Nzuri. Habari zenu na nyie?” Shanga aliwauliza wakati akipeana mkono na mtu wa pili. “Sisi tuwazima, tunashukuru,” mtu aliyekuwa akimpa mkono alimjibu. “Karibuni kae,” Hashim aliwambia kabla ya kuketi. “Sisi ni wageni wako, tunatoka katika jumuia moja muhimu sana. Mimi ninaitwa Dominick Lisha, mwenzangu ni John Bosco,” mmoja wa watu hao alisema. Shanga aliwatazama kwa zamu na kuwambia. “Nimefurahi kuwafahamu “Sisi si wanachama wa chama chochote cha siasa lakini tunafuatilia kwa makini harakati za chama cha UM unachokiongoza wewe,” Dominick Lisha aliendelea kueleza. “Ndiyo, nimefarijika sana kusikia hivyo. “Tumefurahi kusikia kuwa chama chako kimekuteua kugombea urais. Sisi tumekuja kukueleza nia yetu ya kukuunga mkono na kukuhakikishia kuwa tutakuwa bega kwa bega na wewe hadi urais. “Nitashukuru sana. Ningeomba mnifahamishe mnatoka katika jumuia gani kwani sura zenu si ngeni machoni mwangu. “Sura zetu si ngeni kwako kwa sababu tunashiriki katika mikutano yako mingi na pia tunafika katika ofisi za chama chako. Bila shaka utakuwa unatuona bila kututambua,” Lisha akamueleza Shanga. “Ni kweli, inawezekana. “Kama utakubaliana na sisi uwezekano wa wewe kupata urais ni wa asilimia mia moja. “Hamjanitambulisha, mnatoka katika jumuia ipi? “Sisi tunatokea katika jumuia ya kiraia na ipo katika nchi mbalimbali hapa Afrika, Asia na pia nchi za Ulaya na Marekani,” Lisha alijibu. “Jumuia yenu inaitwaje na inashughulika na nini? “Kwa kifupi sisi ni Freemaso.” Max Shanga alishituka. Ili kuficha uso wake usioneshe mshituko alitabasamu. Tabasamu hilo la uongo lilionekana kwenye uso wake tu lakini mshituko uliendelea kubaki ndani ya moyo wake! “Nyinyi ni Freemaso? Shanga aliwauliza huku akiwatazama tena kwa zamu kama vile ilikuwa ndio kwanza anawaona. “Ndiyo, sisi ni Freemaso au wajenzi huru,” John Bosco aliyekuwa kimya muda wote alimjibu. “Nimekuwa nikisikia tu kuhusiana na Freemaso lakini sifahamu shughuli zao ni nini? “Huwezi kuzijua shughuli zetu kwa undani mpaka uingie ndani ya kundi letu. Na wewe tunakushauri uingie ili uweze kupata mafanikio ya kisiasa,” Bosco alimjibu. “Mnaweza kunidokeza kidogo? “Tunachoweza kukudokeza ni kuwa Freemaso tupo kusaidia watu, kuendeleza watu pamoja na kuwapa watu fikira mpya za kimaendeleo. Tuna misingi yetu ambayo kama utaifuata ni lazima utafankiwa kupata urais. “Ningependa mnipe ufafanuzi zaidi, mnawasaidiaje watu?” Bosco alitoa kicheko. Ni siri yetu. Haturuhusiwi kutoa siri zetu za ndani isipokuwa tunakushauri uingie ndipo utakapojua mengi. “Na kwa vile unagombea urais, hii ni nafasi muhimu kwako ya kupata urais. Kama tulivyokwambia kama utafuata misingi yetu uwezekano wa wewe kupata urais ni wa asilimia mia moja,” Lisha akaongeza. Uwezekano wa kupata urais ni wa asilimia mia moja! Shanga aliwaza kwa mhangao. Huku moyo wake ukianza kupata chembe za matumaini aliuliza. “Sasa mtanisaidiaje ili niweze kupata huo urais? “Ni mpaka uingie ndipo utakapouona msaada wetu,” alimjibu Lisha. “Kuna masharti gani ya kujiunga? “Hakuna masharti yoyote. Mtu yoyote anaruhusiwa kujiunga. “Na ofisi zenu ziko wapi? “Hapo utakapohitaji tutakupeleka.” Shanga alibaki kimya kwa muda akiwaza kisha aliuliza. “Niliwahi kusikia kuwa Freemaso ni aina ya dini na mnaabudu mashetani, ni kweli? “Usisikilize maneno ya nje. Freemaso inasemwa kwa mengi yasiyo na ukweli. Ukweli halisi ni ule utakaoelezwa utakapoingia. Unajua Freemaso imeweka mkono katika chama chako bila wewe kujua? “Mimi sijui kama Freemaso imeweka mkono katika chama changu, nyinyi ndio mnanieleza “Mfadhili mkubwa wa chama chenu ni Freemaso!” Shanga alishituka kidogo akawakazia macho Lisha na Bosco. “Hebu niambie ni nani? Sisi tuna wafadhili wengi “Yeye ni mfadhili mkubwa kuliko wote katika chama chako,” Lisha alimwambia. “Mngenitajia jina lake niweze kumfahamu. “Kama utakubaliana na sisi na utakuwa tayari kujiunga na jumuia yetu, tunaweza kuja naye kesho hapa kwako muda kama huu. “Ni mfanyabiashara? “Ndiyo ni mfanyabiashara. Huwezi kuamini kuwa kabla ya kujiunga na Freemaso alikuwa akiuza machungwa sokoni,” Lisha aliendelea kumueleza Shanga. “Ningependa nimuone. Na kama mlivyosema mtakuja naye ni sawa isipokuwa nisingependa tukutane hapa nyumbani. Tutafute sehemu nyingine. “Kama wapi? “Kwenye hoteli yoyote. “Ungependa tukutane hoteli gani? “Pasific panafaa zaidi. “Saa ngapi? ‘Tukutane saa mbili usiku” “Sawa. Tutakuja hapo saa mbili usiku. “Nitahamasika zaidi kama mtafika na huyo mfadhili wetu amabaye ni Freemaso. “Tutafika naye. “Nitafurahi kumuona na kumfahamu. “Ni kina nani wale?” Joyce mke wa Shanga alimuuliza mume wake baada ya kuwatoa wageni hao walioondoka kwa benz jeusi. “Ah! Ni wanachama wangu, wamemekuja kunipongeza kwa kuteuliwa kwangu kugombea urais,” Shanga alimdanganya mke wake. Hakutaka ajue kuwa watu hao walikuwa Freemaso. Shanga hakujali kuona uso wa mke wake ukionesha mashaka, aliketi na kuwasha TV. “Wakati niko jikoni nilisikia wakitaja neno Freemaso,” Joyce aliendelea kumwambia. “Tulikuwa tunawazungumzia hao watu,” Shanga alisema huku macho yake yakiwa yameshughulika na TV. Ili kuzuia mke wake asiendelee kumdadisi alimwambia. “Nataka kutazama taarifa ya habari.” Joyce akaondoka kuelekea jikoni. Ilimchukua Shanga muda mrefu kupata usingizi usiku wa siku ile. Akili yake ilikuwa ikiyatafakari yale maneno ya wale watu kwamba kama atajiunga na Freemaso uwezekano wa kupata urais ni wa asilimia mia moja. Tatizo lake halikuwa kujiunga na Freemaso, tatizo lake lilikuwa ni kupata urais. Ndoto zake zilikuwa ni siku moja kuwa rais wa Jamhuri ya Kamisa. Kama kujiunga na freemaso kutamuwezesha kupata urais, Shanga aliwaza, angekuwa tayari kujiunga na kundi hilo. Alichokuwa anahitaji ni kupata hakikisho kuwa kujiunga kwake na Freemaso hakutaingilia wala kuathiri shughuli zake za kisiasa. Pia Shanga alitaka kumjua mfadhili wa chama chake aliyedokezwa na watu hao. Alijiambia kama watamleta na mwenyewe akathibitisha kuwa ni freemaso, Shanga angekuwa tayari kujiunga na kundi hilo. Asubuhi kulipokucha kama kawaida yake Shanga alifika ofisini kwake saa mbili asubuhi na kuendelea na shughuli zake za kila siku.
TIMU ya Zimamoto imeendeleza ushindani katika Ligi Kuu Zanzibar baada ya kuichapa Raskazone mabao 2-1 katika mchezo uliochezwa Oktoba 19, 2026 kwenye Uwanja wa Mao A uliopo Unguja.
MASHINDANO ya Kombe la Shirikisho la Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFF FA Cup 2026) hatua ya awali ya mchujo inatarajiwa kuanza Oktoba 22, 2026 huku yakihusisha timu 38 zitakazowania nafasi ya kusonga mbele.
MWAMUZI wa Abubakar Khatib ‘Kilupi’ amefungiwa kwa kipindi cha miezi mitatu huku mchezaji wa Muembe Makumbi, Ibrahim Samwel akifutiwa kadi ya njano ya pili aliyoonyeshwa katika mchezo wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL).
…. Deploys tracking technology to monitor medical supplies, assures Nigerians of safety checks By Chioma Obinna The National Agency for Food and Drug Administration and Control (NAFDAC) has said all donated medicines and vaccines under the Nigeria-United States government agreement that are not manufactured in the US will undergo testing for quality, safety and efficacy, […]
UJERUMANI: MABINGWA wa soka wa Ujerumani, Bayern Munich, leo Oktoba 21, 2026, wanaikaribisha Arsenal katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya utakaopigwa kwenye Uwanja wa Allianz Arena, huku timu zote zikilenga kuimarisha nafasi zao katika hatua ya ligi ya michuano hiyo. Mchezo huo unatarajiwa kuwa kipimo muhimu kwa timu hizo mbili kutokana na ushindani wake,…
"Having suffered a torn anterior cruciate ligament in his right knee during yesterday's match against FC Barcelona, Khvicha Kvaratskhelia is set to undergo surgery in the coming days," PSG said in a statement.
PARIS: NYOTA wa Paris Saint-Germain (PSG), Khvicha Kvaratskhelia, anakabiliwa na kipindi kigumu baada ya kuripotiwa kupata jeraha la goti katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Barcelona. Kvaratskhelia aliumia goti la kulia wakati wa mchezo huo uliofanyika Oktoba 20, 2026, ambapo PSG iliibuka na ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya Barcelona. Ripoti za…
By Olasunkanmi Akoni Lagos State Governor, Babajide Sanwo-Olu, has directed the Lagos State Public Works Corporation (LSPWC) to commence immediate road reconstruction and rehabilitation across the state, taking advantage of the dry season to address critical infrastructure deficits. The General Manager of LSPWC, Engr. Tokunbo Ajanaku, disclosed this on Thursday during an inspection tour of […]
SHINYANGA: THE Shinyanga District Commissioner, Julius Mtatiro, has urged officers and rangers of the Tanzania Forest Services Agency (TFS) to strengthen their efforts and adopt innovative approaches to managing bee resources to increase honey production and other bee products in the country. Mtatiro made the call on October 20, 2026, while officially opening a training…
“The objective is not to encourage every student to borrow, but to ensure that every eligible Nigerian student who genuinely needs financial assistance has the opportunity to access it,” NELFUND said.
English football's Independent Regulator (IFR) will have "absolute power" to force Manchester City’s owners to sell if they are ultimately found to have run the club improperly, the watchdog’s chair has said.
By Nwafor Sunday Polycarp, Online News Editor Bayo Onanuga, Special Adviser to President Bola Tinubu on Information and Strategy, has challenged the presidential candidate of Nigeria Democratic Congress, NDC, Peter Obi, over his claim that political opponents twisted his comments about Nigerians in the diaspora. Onanuga also called for the death penalty for counterfeiters following […]
Kijaji orders fast-tracking of works DAR ES SALAAM: MINISTER for Natural Resources and Tourism Ashatu Kijaji (pictured) has set April next year as the deadline for completing tourism development projects at Pugu–Kazimzumbwi Forest Reserve, with the facilities expected to begin operating ahead of the 2027 Africa Cup of Nations (AFCON) finals in June. The minister…
ZANZIBAR: ZANZIBAR has received 36 doctors from China to strengthen healthcare services in hospitals across Unguja and Pemba, while promoting the exchange of medical knowledge and expertise with local professionals. The doctors were received by the Ministry of Health after arriving to introduce themselves to ministry officials ahead of their deployment to hospitals across the…
DAR ES SALAAM: SIMBA Head Coach Steve Barker says his side are well prepared for their CAF Champions League second preliminary round first-leg encounter against Equatorial Guinea’s FC 15 de Agosto de Akonibe, insisting that months of preparation have laid a solid foundation for the season. The two sides are set to meet at Uhuru…
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dk Ashatu Kijaji, ameipa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) hadi Aprili 15, 2027, kukamilisha miradi yote ya kuboresha miundombinu katika Hifadhi ya Msitu wa Mazingira Asilia wa Pugu Kazi Mzumbwi, wilayani Kisarawe, Mkoa wa Pwani, ikiwa ni maandalizi ya kupokea wageni watakaokuja nchini kushuhudia mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027.
DAR ES SALAAM:Rushine de Reuck anaamini kuwa kujiunga na vigogo wa Tanzania, Simba SC, kunaweza kumrejesha kwenye orodha ya wachezaji wanaowania nafasi katika kikosi cha Bafana Bafana. Beki huyo wa Afrika Kusini aliondoka Mamelodi Sundowns mwaka 2024, lakini kuhamia Dar es Salaam bado hakujamrejesha kwenye timu ya taifa. Akiwa na umri wa miaka 28, De…
Governor Dauda Lawal of Zamfara State said Nigerians must learn to live together, support one another and recognise their shared identity, regardless of ethnic or religious differences. The governor revealed this when he received the Igbo Community Association in Zamfara State at the Government House, Gusau, on Thursday. He reaffirmed his administration’s commitment to peaceful […]
The Zamfara State Government says it is stepping up security measures amid rising bandit attacks, including plans to train 1,000 forest guards for deployment across the state. The Commissioner for Information and Culture, Mahmud Mohammed Dantawasa, disclosed this during a briefing at the Government House in Gusau. He identified Bindin and Falale in Maru Local […]
“The essence of federalism is full mutual consent.” — John Buchan Recalling Nigeria’s history in this discourse matters because the country is not an ordinary political community or mere contraption, as some advocates of restructuring erroneously imagine. It comprises peoples of deep consciousness, immense diversity in language, religion, culture, historical experience and political organisation, who […]
Holders Paris Saint-Germain made it three wins from three in this season's Champions League, beating Barcelona 4-2 thanks to late goals from Vitinha and Fabian Ruiz on Tuesday, while Liverpool clinched a dramatic comeback victory over Villarreal.
Data depletion and poor network quality dominated discussions at the 95th edition of the Nigerian Communications Commission (NCC) Telecom Consumer Parliament, as telecommunications operators acknowledged the need to improve service delivery, transparency and communication with subscribers.
Former Liverpool captain Steven Gerrard has revealed why he turned down interest from European giants Real Madrid, Inter Milan and Bayern Munich, insisting he has no regrets about remaining at Anfield during his playing career.
…Group advises Christmas travellers to return before polls By Steve Oko UMUAHIA — Ohanaeze Ndigbo Canada has urged Ndigbo at home and in the diaspora to prioritise participation in the 2027 presidential election over festive activities, saying their involvement would be critical to shaping Nigeria’s future. The group advised eligible Igbo voters planning to travel […]
Bayern Munich could be without manager Vincent Kompany, goalkeeper Manuel Neuer and midfielder Joshua Kimmich for Wednesday’s Champions League clash against Arsenal, assistant coach Aaron Danks has said.
DAR ES SALAAM: Warembo 15 wanataraajia kuwania taji la Miss Kinondoni 2026, katika fainali inayotarajiwa kufanyika Oktoba 25, mwaka huu Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. Akizungumzia maandalizi ya mashindano hayo, Mkurugenzi wa Kampuni ya SPM Entertainment , Salome Kikwembe, amesema maandalizi yanaendelea vizuri huku wakijipanga kuhakikisha mashindano ya mwaka huu yanakuwa na ushindani…
KISARAWE: THE government has allocated Sh2.2 billion for the development of tourism facilities in Kazimzumbwi Forest Reserve, with the project expected to boost domestic tourism and provide entertainment opportunities for football fans during the Africa Cup of Nations (AFCON). The investment will support the development of accommodation cottages, entertainment areas and other visitor facilities aimed…
A school uniform can be replaced. An exercise book can be bought. Even a long journey to school can sometimes be solved with a bicycle. But when a child has already dropped out, returning to the classroom can require much more than a school bag and a new pair of shoes. It can require someone…
NASREDDINE Nabi yupo mlangoni kujiunga na Wydad Athletic Club ya Morocco, huku mazungumzo ya kumkabidhi timu hiyo yakielezwa kufikia hatua za mwisho, baada ya uongozi wa klabu hiyo kuamua kuharakisha mpango uliokuwa umepangwa kutekelezwa Desemba, mwaka huu.
WAKATI nyota mwenye asili ya Afrika, Lamine Yamal akiendelea kuwaka kwenye kikosi cha Barcelona, kuna balaa lingine la makinda wa Afrika linatengenezwa kwenye kikosi cha La Masia.
BAADA ya kukamilika kwa kambi ya mafunzo ya siku 14 iliyokuwa na lengo la kuwajenga na kuwanoa wachezaji wa mpira wa miguu wa wanawake wenye ulemavu, timu ya taifa ya wanawake ya mchezo huo, Tembo Queens, imetangaza kikosi cha nyota 13 watakaowakilisha kwenye mashindano ya Afrika.
KIPIGO cha mabao 6-1 kutoka kwa Simba kimekuwa pigo kubwa kwa Mashujaa, lakini kocha wa timu hiyo, Amani Josiah, amesema amechukua hatua za haraka kurejesha hali ya wachezaji wake kwa kufanya vikao vya ndani pamoja na mafunzo ya darasani na uwanjani.
Ten Hag also alleged that Ronaldo struggled to meet the club's fitness requirements, claiming that the forward sometimes withdrew from training sessions and failed to achieve the required heart rate levels.
Kocha wa Junior Starlets, Mildred Cheche, amewataka wachezaji wake kuboresha mashambulizi na kuimarisha safu ya ulinzi wanapojiandaa kukabiliana na Marekani katika Kombe la Dunia la Wanawake la chini ya miaka 17 nchini Morocco. Kenya ilianza kampeni yake ya Kundi E kwa kichapo cha 3-0 dhidi ya China Jumatatu katika Chuo cha Soka cha Mohammed VI, Salé. Cheche alisema wachezaji wake walionyesha kiwango kizuri katika kipindi cha kwanza, lakini walishindwa kuendeleza kiwango hicho baada ya kuruhusu bao katika kipindi cha pili. “Walijitahidi na tulikuwa na wakati mzuri katika kipindi cha kwanza hata ingawa tulikuwa tushafungwa bao moja. Katika kipindi cha pili mambo hayakuenda vizuri,” alisema Cheche. Alisema kikosi chake kina nafasi ya kurekebisha makosa kabla ya mechi yao ya pili dhidi ya Marekani kesho katika uwanja huo huo. “Tunapaswa kuboresha maeneo kadhaa, hasa safu ya ushambuliaji na ulinzi, ikiwa tunataka kufuzu kutoka hatua ya makundi. Tulifanikiwa kutengeneza nafasi katika eneo la wapinzani, lakini tunahitaji kuzitumia vizuri,” aliongeza. Marekani iliweka wazi makali yake baada ya kuicharaza Samoa 17-0 katika mechi nyingine ya Kundi E Jumatatu, na hivyo kuweka warembo wa nyumbani katika mtihani mgumu wanapowania kufuzu raundi ya 16 bora. Hata hivyo, kiungo Lindey Weey Atieno, mwanafunzi wa Raila Educational Centre jijini Nairobi, anaamini Kenya inaweza kupata matokeo mazuri. Aliwataka Wakenya kuendelea kuwaaminia na kuwapa sapoti, akisisitiza kuwa bado ina nafasi ya kusonga mbele kwa kuwa imesalia na mechi mbili za makundi. Weey ni miongoni mwa wachezaji watatu wa sasa waliocheza Kombe la Dunia la 2024 nchini Jamhuri ya Dominican. Wengine ni beki Brenda Awuor na mshambuliaji Faith Boke. China ilifungua ukurasa wa mabao dakika ya 12 kupitia Xu Yue, aliyenufaika na makosa ya ulinzi wa Kenya kabla ya kupiga shuti lililojaa wavuni. Xu Xiaotang alifunga mabao mawili na kutajwa mchezaji bora wa mechi. Kenya itamenyana na Marekani kesho kabla ya kuhitimisha mechi zake za makundi dhidi ya Samoa Oktoba 25.
Mshambuliaji wa Kayole Starlets Calta Nasambu amejiunga na klabu ya Haymana Spor Kulübü inayoshiriki Ligi Kuu ya Soka la Wanawake nchini Uturuki. Nasambu, 21, aliondoka nchini Jumatatu ilyopita kujiunga na klabu hiyo kwa mkataba utakaodumu hadi mwisho wa msimu Mei 2027, huku kukiwa na uwezekano wa kuongezwa kwa muda zaidi. Mchezaji huyo anayeibukia aliwahi kuchezea Barcelona Ladies SC ya Laikipia kabla ya kujiunga na Kayole Starlets Februari mwaka huu. Aliisaidia Kayole kumaliza katika nafasi ya sita kwenye Ligi Kuu ya Wanawake nchini (KWPL) msimu uliopita. Nasambu alisema kuhamia Uturuki ni kutimia kwa ndoto yake ya kucheza soka nje ya Kenya, akitambua mchango wa mashindano ya Safaricom Chapa Dimba katika kumfungulia milango ya fursa za kimataifa. “Hii ni ndoto iliyotimia. Daima nimekuwa nikiomba kupata nafasi ya kucheza nje ya nchi na sasa ninaelekea Uturuki. Ninaamini huu ni mwanzo tu na nitajitahidi kupiga hatua zaidi katika taaluma yangu,” alisema Nasambu. Aliongeza: “Safaricom iliponiwezesha kusafiri kwenda Uhispania kupitia Chapa Dimba, ilinifungulia milango ya fursa za kimataifa. Ninawashukuru sana. Pia ninaishukuru Barcelona Ladies SC na Kayole Starlets kwa kuniamini na kunipa nafasi ya kuonyesha kipaji changu.” Akiwa Haymana Spor Kulübü, Nasambu ataungana tena na wachezaji wenzake wa zamani wa Kayole Starlets, Lavin Achola na Euphrasier Shilwatso, waliojiunga na klabu hiyo ya Uturuki Agosti mwaka huu. Nasambu alivuma wakati wa msimu wa nne wa mashindano ya Safaricom Chapa Dimba alipokuwa akiichezea Barcelona Ladies SC. Aliibuka mfungaji bora wa mashindano hayo na kuisaidia timu yake kufuzu kwa fainali za kitaifa zilizofanyika Kisumu. Kutokana na kiwango chake katika mashindano ya kanda na fainali za kitaifa, alichaguliwa kujiunga na kikosi cha Safaricom Chapa Dimba All-Stars kilichosafiri kwenda Huesca, Uhispania, mwaka 2025 kwa kambi ya mafunzo ya wiki moja. Akiwa huko, Nasambu alipata nafasi ya kufanya mazoezi na kikosi cha kwanza cha wanawake cha Huesca baada ya kuvutia katika mechi za kirafiki zilizochezwa wakati wa ziara hiyo. Mzaliwa wa Sikhendu, Kitale, Kaunti ya Trans Nzoia, Nasambu alikuza kipaji chake Barcelona Ladies SC chini ya kocha Emman Wafula Gullit kabla ya kuhamia Kayole Starlets. Meneja wa Kayole Starlets, Faith Odit, alisema klabu hiyo inafurahia kuona mchezaji huyo akipata fursa ya kuendeleza taaluma yake nje ya nchi. “Calta ni mmoja wa wachezaji wenye vipaji vikubwa katika Kayole Starlets. Uwezo wake wa kudhibiti na kumiliki mpira unaonyesha kuwa ana mustakabali mzuri. Tunafurahia kupata kwake nafasi ya kujiunga na Haymana Spor Kulübü kwa kipindi kilichosalia cha msimu na tunamtakia kila la heri,” alisema Odit.
BAADA ya kukaa muda mrefu nje ya ulingo, bondia Cosmas Cheka anatarajiwa kurejea kwenye pambano la raundi nane dhidi ya Omary Sultan, akilenga kurejesha ubora wake katika mchezo wa ngumi za kulipwa.
The Mbeya Region, currently Tanzania’s third-largest contributor to the national economy, could rise to the top if residents and businesses make better use of available opportunities, Regional Commissioner Jumanne Sagini has said. According to Bank of Tanzania estimates for 2025, Dar es Salaam leads with a contribution of Sh39.808 trillion, followed by Mwanza at Sh16.749 trillion. Mbeya ranks third at Sh12.924 trillion, ahead of Morogoro and Arusha, which contribute Sh11.409 trillion and Sh11.101 trillion, respectively. Mr Sagini said the region could improve its position through better environmental cleanliness, stronger promotion of local products on social media and improved infrastructure, including the ongoing construction of a dual carriageway. Speaking at a fashion event, Vazi la Kitenge, held in Mbeya on the night of October 18, he said he wanted to see the region achieve tangible economic progress rather than rely on rhetoric. He urged residents, traders and entrepreneurs to add value to local opportunities, saying the government was working to create a favourable environment for businesses and innovation. “Mbeya has no major shopping malls, while Mwanza has Rock City Mall. I would like us to have Green City Mall within three years. We also need a major banana market in Rungwe instead of sending bananas to Dar es Salaam,” he said. Mr Sagini said the region should also create opportunities for young people to earn a living through mining in Chunya District. He pledged to closely monitor the dual carriageway project to ensure it was completed on time, warning that the contractor could be replaced if unable to deliver. He said the fashion event offered an opportunity to promote Mbeya’s products and connect local businesses with domestic and international markets through digital platforms. “Young people are a major source of innovation. We must give them opportunities, trust them and connect them with available opportunities. Use your talents and creativity in fashion, arts, tailoring and business to reach markets digitally,” he said. Businessman Dickson Kadinda said poor infrastructure continued to affect businesses, urging the government to accelerate the road project. “Businesses are struggling because of the road, although we appreciate the government’s efforts. We ask that the project be completed quickly,” he said, while commending the broader investment environment. Event organiser Edwin Luvanda said the festival brought together tailors from several regions in Tanzania’s Southern Highlands to recognise their creativity and encourage the exchange of skills and experience. Ten emerging tailors were awarded prizes, he said, adding that the event also aimed to promote Mbeya and the wider Southern Highlands as centres of creativity and business opportunities.
DAR ES SALAAM: Shirikisho la Mpira wa Miguu kwa Watu wenye Ulemavu Tanzania (TAFF), limeanza maandalizi ya timu ya taifa ya wanawake, Tembo Queens, kwa ajili ya mashindano ya Afrika yanayotarajiwa kufanyika Desemba mwaka huu. Akizungumza na DailyNews Digital, Ofisa Habari wa TAFF, Khalidi Msabaha, amesema kikosi hicho kimeanza maandalizi kwa kukusanya wachezaji kutoka mikoa…
The London-born Olise, who started in Arsenal's junior system, is suspended after picking up two yellow cards inside a minute in Bayern's 3-3 draw with Viking last week.
KONGWA: KONGWA District Council is planning a coordinated strategy to combat Gender Based Violence (GBV) and child abuse by bringing together government leaders, religious institutions and communities to strengthen protection for vulnerable groups. District Commissioner, Ms Almishi Hazali, directed the council’s Executive Director to prepare the strategy with the participation of government leaders and representatives…