
KUMEKUCHA MICHEZO : NOVEMBA 20, 2026
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ; Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Category
Match reports, transfers and results from East African football and leagues worldwide, plus athletics, basketball and the biggest stories in global sport.

Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ; Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania

KIPIGO cha mabao 2-1 ilichopokea Vuka Deaf katika mechi ya Ligi ya Viziwi Zanzibar iliyochezwa Septemba 24, 2026 dhidi ya Wakombozi, imehitimisha safari ya timu hiyo kucheza fainali.

KIPA wa KVZ, Hamad Ubwa ‘Baro’, amesema anahitaji kutwaa tena Tuzo ya Golikipa Bora msimu wa 2026-2027 kama alivyofanikiwa hilo msimu uliopita.

KATIBU Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFF), Hussein Ahmada, akiambatana na Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha na Mipango wa ZFF, Awadh Maulid, wamewatembelea wachezaji wa zamani wa Zanzibar maarufu Zanzibar Old Stars katika viwanja vya Mambosasa kisiwani Unguja.

TIMU ya Uhamiaji Zanzibar, imepokea Sh2 milioni kutoka kwa Kamishna Msaidizi wa Uhamiaji ambaye ni Mwenyekiti wa timu hiyo, Ali Juma Abdulkadir ikiwa ni kuongeza hamasa baada ya kufunga mabao kumi kwenye mechi tano za Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) msimu huu.

UHONDO wa Ligi ya Championship umeingia raundi ya tatu jana na kushuhudia ushindani ukiendelea kuonekana mapema kwa timu shiriki, huku mechi nyingine zikipigwa leo Jumamosi na nyingine kuchezwa pia kesho Jumapili kwenye viwanja mbalimbali.

UTANGULIZI Amour alikuwa ameinamisha uso wake huku akiinua macho mara moja moja akiwatazama watu hao. Aliamini mengi yasiyo na ukweli yalikuwa yakizungumzwa mitaani na polisi kulaumiwa kutokana na kadhia ya kuuawa kwa watoto wa Almasi. Kwa vile mazungumzo yale ya kulaumiwa polisi yalimkera aliinuka na kwenda kuosha mikono yake. Baada ya kulipa aliondoka kwenye mkahawa huo. Wakati anajipakia kwenye gari lake alijiambia, hakuna watu ambao watafanya uhalifu daima bila kukamatwa. Kama hawatakamatwa ni kwa kipindi fulani tu cha kufanya uhalifu wao lakini ni lazima watu hao watakamatwa tu. Alikaa kwenye siti ya gari akafunga mlango huku maneno ya yule mtu yakipita akilini mwake. “Wao na serikali nani mwenye uwezo zaidi…” Bila shaka yoyote serikali ndio yenye uwezo zaidi, alijiambia kabla ya kulipiga moto gari hilo na kuondoka. Alipofika ofisini kwake akakutana na Anjela. “Karibu ofisini,” alimkaribisha. “Asante.” SASA ENDELEA “KAA kwenye kiti.” Anjela alikaa. “Unajisikiaje hali yako?” Amour alimuuliza huku akimtazama kwa makini. “Sijambo.” “Umetoka hospitalini asubuhi hii?” “Ndiyo. Baba alikuja kunichukua.” “Yuko wapi?” “Nimemuacha kwenye gari.” “Sawa. Sasa nilichokuitia hapa ni kwamba wewe ndiye shahidi muhimu wa tukio la kuuawa kwa yule kijana. Kwa hiyo nilikuwa ninahitaji kuandikisha maelezo yako.” “Sawa.” Amour alitoa faili ambalo alikuwa ameweka kumbukumbu za matukio ya kuuawa kwa watu wa familia ya Almasi. Alipachika karatasi mpya na kuandika jina la Anjela. “Unaitwa Anjela nani?” “Naitwa Anjela Thomas.” “Una umri gani?” “Miaka ishirini na minne.” “Unafanya kazi?” “Ndiyo” “Unafanya kazi gani?” “Mimi ni mwalimu wa kompyuta” “Umefahamiana na marehemu tangu lini?” “Unafika mwaka mmoja sasa?” “Unafahamu kwamba kaka zake marehemu waliuawa?” “Nafahamu.” “Marehemu aliwahi kukueleza nini kuhusu kuuawa kwa ndugu zake hao?” “Alinieleza kuwa wameuawa na majambazi.” “Alikuwa anaamini kwamba ndugu zake waliuawa na majambazi?” “Ndiyo.” “Aliwahi kukutajia hao majambazi walikuwa wakivaa mavazi gani na wakoje?’ “Kusema kweli jinsi alivyokuwa akinieleza ni kama wale niliowaona jana.” “Majambazi huwa wanaua mtu na kupora mali, kwanini wale majambazi wa jana hawakupora kitu?” “Sijui ni kwanini lakini nafikiri labda ni kwa sababu niliwahi kupiga kelele.” “Unahisi kama usingetokea na kupiga kelele, wangempora nini marehemu?” Msichana akatikisa kichwa. “Hapo siwezi kujua.” “Kulikuwa na watu wengine kadhaa, unadhani ni kwanini watu hao walimfuata marehemu?” “Mimi nadhani wale majambazi ndio wale wale waliowaua kaka zake. Wameamua kumuua na yeye.” “Unadhani ni kwanini?” “Sijui.” “Tuendeleea na tukio la jana usiku, hebu nieleze nini kilitokea….?” Anjela akaanza kulieleza tukio lilitokea usiku uliopita hadi Alex alipouawa na yeye kupotewa na fahamu. Amour aliandikisha maelezo yake kisha akamwambia aweke saini. Anjela alipoweka saini alimwambia. “Utaniachia namba yako ya simu, nitakapokuhitaji nitakuita.” Mara tu Anjela alipomalizana na Inspekta Amour na kutoka ofisini mwake, Amour alifahamishwa kwamba Almasi alikuwa amefika hapo akiwa na mke wake na mtoto wao aliyeitwa Benjamin. Amour alipowaruhusu waingie ofisini, watu hao waliingia wakiwa wamejaa machozi kuanzia Almasi, mke wake na mtoto wao Benjamin. Walikuwa wanalia. “Inspekta! Mwanangu Alex ameuawa jana usiku na waliomuua ni watu wale wale waliowaua wenzake.” Almasi alimwambia Amour huku akilia. “Ninazo taarifa. Nilifahamishwa usiku huo huo na hilo suala ninalishughulikia.” Amour aliwambia na kuongeza. “Ninachowaomba muwe na subira.” “Tuwe na subira hadi lini Inspekta? Mwanangu sasa amebaki mmoja na sina hakika ataishi hadi lini?” “Una maana gani kuuliza kuwa ataishi hadi lini?” “Nina maana kwamba kaka zake wote wameshauawa, sasa unadhani kuwa yeye ataachwa?” “Kuna wakati mlituambia kwamba hao majambazi wamekamatwa. Matokeo yake tunaona watoto wanaendelea kuuawa na wauaji ni wale wale” Mke wa Almasi naye akakita msumari wa moto kwenye kidonda. Ilibidi Amour ainuke kwenye kiti na kuzungumza akiwa amesimama. “Ndiyo maana nikawambia muwe na subira. Polisi pia ni wanadamu si malaika. Tunafanya kazi zetu kwa kutumia uwezo wetu wa kibinaadamu. Hatuna miujiza na inaaminika kwamba hao wauaji wanatumia nguvu za kiza…” “Inspekta unaingiza ushirikina….” Almasi alimkatiza. Akaongeza. “Sisi tunaamini wale ni watu wa kawaida tu lakini tunashangaa ni kwanini hawakamatwi.” “Mtoto wetu sasa amebaki huyu mmmoja, ndiyo tumekuja naye mumpe ulinzi.” Mke wa Almasi alikoleza moto. Amour hakujua ajibu lipi na awatulize vipi watu hao ambao walikuwa wamemchachamalia kama vile yeye ndiye aliyekuwa muuaji wao. Ilibidi awaite maafisa wenzake na kuzungumza na watu hao kwa utaratibu mpaka wakakubali kuwa suala hilo wawaachie polisi. Almasi, mke wake na Benjamin wakasindikizwa na polisi hadi walipoliegesha gari lao. Wakajipakia na kuondoka. Baada ya watu hao kuondoka, maafisa wa polisi waliweka kikao kulizungumzia suala la kuuawa kwa watu wa familia ya Almasi. Kila afisa aliruuhusiwa kutoa mawazo yake kuhusiana na suala hilo na kueleza ni mkakati upi ambao ungefaa kutumika kuwakamata majambazi hao. Polisi na makachero mbalimbali walitoa mawazo yao ya busara ambayo Inspekta Amour aliyaandika yakiwa kama mkakati wa kipolisi wa kuhakiksha mauaji ya watu wa familia ya Almasi yanakomeshwa na wauaji hao wanakamatwa. ********** Baada ya maziko ya Alex, Almasi alimuweka kikao mwanawe aliyebaki ambaye alikuwa ni Benjamin pamoja na mke wake. “Mke wangu na mwanangu Alex hivi sasa tumebaki peke yetu.” Almasi alimwambia mke wake na mwanawe katika kikao hicho. Aliendelea kuwambia. “Sisikitikii Mungu kuchukua mtu wake aliyemtaka ila nasikitikia matukio yaliyowatokea wanangu. Wanangu wameuawa kinyama na wametolewa roho zao kikatili bila ya hatia. Na mpaka sasa sijatambua ni akina nani wanaonifanyia unyama huu. “Jukumu lakuwalinda wananchi pamoja na mali zao ni la polisi lakini inaonekana polisi wameshindwa si tu kuzuia mauaji ya wanangu bali pia wameshindwa hata kuwatambua hawa watu ni kina nani. Kwa kweli inauma. “Kwa vile sijui watu hawa wana lengo gani na mimi, ninakutahadharisha mwanangu Benjamin uwe makini sana. Ukitutoka wewe tutabaki wakiwa. Jana usiku nilikufikiria sana. Na mwisho wa fikira zangu niliamua ili kukulinda wewe nikuwekee mlinzi wa kukulinda wakati wote. “Tutatafuta mlinzi hodari katika makampuni ya ulinzi, utakuwa ukitembea naye iwe kwenye gari au kwa miguu. Kadhalika nyumba yako itakuwa na walinzi kwa masaa ishirini na nne. Kama uwezo huo wa kukulinda ninao nitatumia pesa zangu kuhakikisha unabaki salama hadi hapo watu hawa watakapotambulika na kutiwa mikononi. “Na yote hii ni wivu tu na kijicho cha binaadamu. Wameona nina mali, nina watoto, basi wameona waanze kuwaua na kunitia hasara ili nirudi kuwa masikini na nisiwe na mtoto lakini naamini kama kusudio lao ni hilo halitatimia.” Alipofika hapo Almasi akamtazama Benjamin. “Kweli unajhisi kuwa salama wakati kaka zako wameshaondoka?” akamuuliza. Benjamin akatikisa kichwa. “Hapana baba, sijisikii kuwa salama.” “Kwa hiyo unakubaliana na miimi kwamba tukuwekee mlinzi?” “Ninakubaliana na ndilo lililokuwa wazo langu.” “Unadhani tutampata wapi mlinzi?” “Kwenye makampuni ya ulinzi.” “Sitaki awe na sare, nataka mlinzi ambaye atavaa kiraia ili asitambulike.” “Hao walinzi wa makampuni pia wanaweza kuvaa kiraia.” “Tukutafutie sisi au utamtafuta mwenyewe?” “Nitamtafuta mwenyewe.” “Sawa. Nataka mpaka kesho kutwa nimuone mlinzi huyo na mshahara wake nitaulipa mimi.” “Sawa baba, nitajitahidi kumpata haraka iwezekanavyo.” Almasi akamtazama mke wake. “Je una lolote la kusema?” Akamuuliza. “Ninalo. Nataka nimwambie Benjamin ajifunze kutokana na yale yaliyomkuta mwenzake. Alex alikuwa akiishi maisha tofauti kabisa na mwenendo wetu sisi. Alex mbele ya macho yetu alikuwa mkimya sana lakini tumekuwa tukisikia kwamba alikuwa anakunywa pombe, anabadili wasichana kama mashati na anakesha kwenye vilabu hadi usiku wa manane. “Tumeambiwa na daktari kwamba damu ya Alex ilionyesha kwamba alikuwa amelewa wakati anauawa. Pengine kama asingelewa angeweza kujihami au pengine kama usiku ule asingekwenda klabu asingekutana na mauti yale. “Sasa nakuhadharisha wewe. Acha matembezi ya usiku na acha kujihusisha na makundi ya marafiki wasioeleweka. Umenielewa mwanangu?” “Nimekuelewa mama. Nyinyi wenyewe mnanijua tangu zamani. Sina marafiki kama alivyokuwa Alex na muda mwingi nakuwa nyumbani tu,” Benjamin aliwaambia.

DAR ES SALAAM: MINISTER for Information, Culture, Arts, Sports, Paul Makonda, has expressed satisfaction with the progress of the nation’s preparations for the 2027 Africa Cup of Nations, saying key infrastructure projects are on course. The country prepares to co-host the continental showpiece with Kenya and Uganda. Makonda said work on the country’s stadiums, training…

Ahmedy Ally aipiga mkwara Yanga mastaa wa Simba wakienda Sauz kwa makundi,jeuri ya MO Dewji

TANZANIA: WEARING the colours of Taifa Stars is never just another football assignment. It is the culmination of years of sacrifice, a badge of honour earned through persistence and a responsibility to those dreaming of following the same path. For a group that made history at the 2025 AFCON, that responsibility carries even greater weight.…

ZANZIBAR: THE road to AFCON 2027 may already be secured, but for Taifa Stars, the real journey towards making history begins today in Zanzibar. When Taifa Stars walk onto the pitch at the New Amaan Complex in Zanzibar to face Guinea-Bissau, they will not be chasing a ticket to the 2027 Africa Cup of Nations.…

RIGHT OF REPLY Approximately 1,030 words Azu Ishiekwene asks the right question, and he is right that the World Cup answered it before any of us did. The hostility Bafana Bafana met in those stadiums was not football. It was a bill arriving. I take his question seriously and respectfully disagree with part of how […]

Brighton striker Malick Yalcouye made a dream debut for Ivory Coast by scoring in a 2-0 Africa Cup of Nations qualifying victory over Ghana in Bouake on Thursday.

Super Eagles head coach Eric Chelle has revealed that Udinese requested one of Nigeria’s invited players to remain with the Italian club for some activities ahead of the team’s Africa Cup of Nations, AFCON, qualifiers.

Former Liverpool and England striker Andy Carroll has revealed he was sexually assaulted by a man in 2021.

TIMU ya Taifa ya vijana ya Tanzania chini ya miaka 20, Ngorongoro Heroes, imepoteza fainali ya michuano ya Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) kwa penalti 4-3 baada ya dakika 120 kumalizika kwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Sudan, mchezo uliopigwa leo Alhamisi Septemba 24, 2026 kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.

DAR ES SALAAM: A national football team cannot prepare effectively for major international competitions if basic logistical needs remain unresolved. For Tanzania’s Taifa Stars, dependable transportation has now received a significant boost after the National Bank of Commerce (NBC) handed over a new Yutong bus valued at more than 500m/- to the Tanzania Football Federation…

UTANGULIZI Anjela alikuwa anatoka kujisaidia akawaona watu wamemshika mpenzi wake. Alimuona aliyekuwa ameshika upanga akimchinja Alex. Anjela akapiga ukulele. “Jamani watu wanamchinja mume wangu!” Alirudia kusema hivyo mara tatu akiwa amesimama hatua kadhaa kutoka lilipokuwa gari la Alex. Wale watu watatu aliowaona waliondoka taratibu na hakuweza kujua walielekea wapi. SASA ENDELEA Alipoona watu hao wameondoka, Anjela alipiga hatua hadi lilipokuwa gari hilo akamtazama Alex aliyekuwa ameanguka kando ya gari baada ya kuchinjwa. Anjela alipoiona shingo ya Alex iliyokuwa imetapaa damu alipiga ukulele mwingine akaanguka chini na kupoteza fahamu. Inspekta Amour aliamshwa usingizini kwa mlio wa simu aliyokuwa ameiweka kwenye kimeza cha mchagoni mwa kitanda. Alikuwa akipendelea kuiweka simu yake mahali hapo ili aweze kuisikia kirahisi pindi inapoita wakati akiwa amelala. Alipozinduka aliwasha taa akautoa mkono wake ndani ya chandarua na kuichukua simu hiyo. Aliona namba ya mmoja wa makachero wa idara yake aliye chini yake, akaipokea simu. “Afande kuna tukio limetokea usiku huu. Kuna kijana amechinjwa nje ya jumba moja la starehe usiku huu na inasemekana ni mtoto wa Bwana Almasi…” Amour akashituka na kuuliza. “Amechinjwa na nani?” “Haijafahamika bado. Imeelezwa kuwa huyo kijana alikuwa na mchumba wake ambaye alipiga kelele kuita watu wakati Alex anachinjwa lakini watu walipofika walimkuta msichana huyo amepoteza fahamu.” “Huyo msichana yuko wapi?” “Amepelekwa hospitali ya Muhimbili.” “Mpaka sasa hajazinduka?” “Hajazinduka.” “Hao watu waliomchiunja wamekamatwa?” “Hawakupatikana. Waliwahi kukimbia.” “Mwili wa huyo kijana umepelekwa wapi?” “Pia umepelekwa hospitali ya Muhimbili.” Baada ya kupata taarifa hiyo Amour hakulala tena. Alishuka kitandani akavaa nguo zake na kutoka. Alijipakia kwenye gari lake na kuelekea hospitali ya Muhimbili. Alipofika alikwenda mochwari ambako aliomba kuoneshwa mwili wa kijana aliyechinjwa. Akatolewa mwili huo. Alipoutazama alithibitisha kuwa ni mwili wa Alex mtoto wa Almasi. Amour akatikisa kichwa kusikitika. “Wauaji hawa wamedhamiria nini?” Akajiuliza kimoyomoyo bila kupata jibu. Baada ya kutoka mochwari, Amour aliomba apelekwe katika chumba alicholazwa msichana aliyezirai ambaye alikuwa pamoja na marehemu. Alipopelekwa katika chumba hicho alikuta watu wanne, daktari aliyekuwa akimpima Anjela mapigo ya moyo, polisi wawili na mtu mwingine mmoja ambaye hakumfahamu. Vile Amour anaingia tu katika chumba hicho, Anjela naye akafungua macho. Fahamu zilikuwa zinaanza kumjia. Kwanza alishituka kujiona yuko katika chumba hicho cha hospitali. Kisha akashituka kuwaona watu wamesimama kando ya kitanda alicholazwa akiwemo daktari. Aliwapitishia macho watu hao na kugundua kuwa walikuwa polisi wawili na mtu mwingine alikuwa ni baba yake. Alipomuona baba yake alimuita. “Baba!” “Ndiyo mwanangu” Mtu alliyekuwa amesimama na wale polisi akamuitikia. “Kuna nini?” “Utafahamu kila kitu. Ninakuomba utulie kidogo.” Daktari alimwambia Anjela. “Nimefanya nini dokta?” “Uko salama tu isipokuwa ulipoteza fahamu ulipokuwa mahali fulani. Tunafurahi kuwa umezinduka.” Hapohapo kumbukumbu zikaanza kumjia Anjela. Alikumbuka kutoka na mpenzi wake Alex. Alikumbuka walivyokuwa katika ukumbi fulani na akakumbuka alipojisikia kupatwa na haja ndogo wakati walipokuwa wanatoka na Alex. Baada ya hapo kumbukumbu zikaanza kumjia vizuri. Alikumbuka kumuacha Alex kwenye gari na kwenda kujisaidia kitendo ambacho kilichukua dakika tatu hivi. Akakumbuka wakati anatoka aliona watu wakimchinja Alex kwenye gari kisha akakumbuka kuuona mwili wa Alex uliokuwa umelala chini ukiwa umechinjwa! Baada ya hapo hakukumbuka tena kilichoendelea. Lakini hata hivyo alitambua kuwa Alex alikuwa ameuawa. Huzuni zikaanza upya ndani ya moyo wake. Machozi yakaanza kumtiririka. Amour alipoingia katika chumba hicho alisimama na kumtazama msichana huyo kisha akajitambulisha kwa daktari na kuomba kuzungumza na msichana huyo mawili, matatu. Aliketi pemebeni mwa kitanda na kuanza kumhoji maswali Anjela. “Unaitwa nani?” “Naitwa Anjela Amin.” “Una umri gani?” “Nina mika ishirini na minne” “Unamfahamu Alex?” “Ndiyo namfahamu.” “Hebu nieleze nini kimetokea?” Msichana huyo akaeleza kilichotokea hadi alipopotewa na fahamu. “Hao watu uliowaona wakimchunja marehemu uliwaona vizuri?’ “Sikuwaona vizuri lakini walikuwa watatu, wawili walivaa nguo nyeupe, mmoja alivaa nguo nyeusi na huyo ndiye aliyemchinja …” Anjela alianza kulia kwa sauti. “Usilie. Nyamaza uendelee kutueleza. Hao watu baada ya kufanya kitendo hicho walikwenda wapi?’ “Nilipotoka kujisaidia na kuwaona nilipiga kelele. Wakati huo ndio walikuwa wanamchinja. Walipoona napiga kelele wakaondoka.” “Walipoondoka walikwenda wapi?” “Sikuweza kuzingatia walikwenda wapi lakini waliondoka ghafla.” “Uliona wanaondoka au walitoweka mbele ya macho yako?” “Pale kwenye gari waliondoka halafu sikuwaona tena.” “Walikupotea?” “Ndiyo.” “Wakati unaletwa hapa hospitali ulikuwa umepoteza fahamu?” “Ndiyo.” Amour akawatazama wale polisi. “Gari lao liko wapi?” Akawauliza. “Gari lao limeondolewa. Lipo makao ya polisi.” Polisi mmoja akamjibu. “Sawa.” Amour akamtazama yule mtu mwingine aliyekuwa amesimama. “Wewe ndiye baba wa huyu binti?” Akamuuliza. “Ndiye mimi?” Yule mtu alimjibu kwa haraka. “Wakati tukio hili linatokea ulikuwa wapi?” “Nilikuwa nyumbani. Nilipigiwa simu nikaamshwa usingizini. Kuna mtu aliniambia binti yako ameuawa. Nikafika hapa na kuambiwa kwamba aliyeuawa ni mwenzake. Kwa kweli ni jambo ambalo limenisikitisha sana.” “Tutawatafuta wauaji hao na ninaamini kuwa tutawapata tu.” Amour akainuka na kumtazama Anjela. “Utakapotoka hospitali nataka uripoti ofisini kwangu makao ya polisi. Uliza Inspekta Amour.” “Sawa. Nitafanya hivyo.” Baada ya hapo Inspekta Amour aliaga na kuondoka. Hakurudi tena nyumbani kwake. Alikwenda ofisini kwake makao ya polisi. Muda huo wa usiku harakati za kazi zilikuwa zikiendelea ndani ya makao ya polisi kama vile ulikuwa mchana. Makachero na polisi waliokuwa na zamu ya usiku na wale ambao hawakuwa na zamu maalum kama Inspekta Amour, walikuwa wakiendelea na kazi. Amour alipoingia ofisini kwake aliendelea na kazi zake hadi saa kumi na mbili asubuhi ambapo aliondoka kurudi nyumbani kwake. Alipofika alioga na kubadili nguo kisha alitoka tena. Alikwenda kwenye mkahawa kunywa supu. Wakati anakunywa aliwasikia watu waliokuwa wamekaa karibu na meza yake wakiongelea kuhusu mauaji yaliyotokea usiku uliopita. Amour alishangaa jinsi watu wa jiji hilo walivyokuwa wadaku wa kupata mambo kwa haraka. Tukio lilitokea usiku lakini tayari lilikuwa linazungumzwa kama vile lilitokea asubuhi ile. Hata hivyo watu hao hawakuwa wakilizungumzia tukio hilo kwa usahihi. Habari ilikuwa imepotoshwa sana. Walisema kijana mmoja pamoja na mpenzi wake waliuawa kwa kuchinjwa na gari lao kuporwa. Kilichomchoma Amour ni kusikia kuwa watu waliofanya tukio hilo ni majambazi ambao walikuwa wameiandama familia ya tajiri mmoja aliyefahamika kwa jina la Almasi. “Majambazi hao wameshaua watoto wengi wa tajiri huyo akiwemo huyo aliyechinjwa usiku.” Mtu mmoja aliwambia wenzake. “Sasa ni kwanini wameiandama familia hiyo?” Mtu mwingine akauliza. “Haijulikani. Wakati mwingine wanawaua bila kuchukua kitu chochote.” “Tuseme polisi bado hawajawagundua watu hao?” “Inaelekea polisi wameshindwa kuwapata. Inasemekana hao watu wanatumia uchawi ili wasikamatwe.” “Basi watawamaliza.” “Huyo tajiri mwenyewe anawalaumu polisi. Anawambia majambazi wote wanakamatwa, kwanini hao hawakamatwi. Wao na serikali nani mwenye uwezo zaidi?” Amour alikuwa ameinamisha uso wake huku akiinua macho mara moja moja akiwatazama watu hao. Aliamini mengi yasiyo na ukweli yalikuwa yakizungumzwa mitaani na polisi kulaumiwa kutokana na kadhia ya kuuawa kwa watoto wa Almasi. Kwa vile mazungumzo yale ya kulaumiwa polisi yalimkera aliinuka na kwenda kuosha mikono yake. Baada ya kulipa aliondoka kwenye mkahawa huo. Wakati anajipakia kwenye gari lake alijiambia, hakuna watu ambao watafanya uhalifu daima bila kukamatwa. Kama hawatakamatwa ni kwa kipindi fulani tu cha kufanya uhalifu wao lakini ni lazima watu hao watakamatwa tu. Alikaa kwenye siti ya gari akafunga mlango huku maneno ya yule mtu yakipita akilini mwake. “Wao na serikali nani mwenye uwezo zaidi…” Bila shaka yoyote serikali ndio yenye uwezo zaidi, alijiambia kabla ya kulipiga moto gari hilo na kuondoka. Alipofika ofisini kwake akakutana na Anjela. “Karibu ofisini,” alimkaribisha. “Asante.”

TIMU ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, leo itaanza safari ya kuwania kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027 kwa kuikabili Guinea-Bissau mchezo utakaopigwa kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar, huku ikibeba dhamira ya kuanza kampeni hiyo kwa ushindi.


USHINDANI wa namba katika kikosi cha Singida Black Stars unampa presha kipa namba moja wa kikosi hicho, Metacha Boniphace Mnata ambaye amesema hata hivyo, badala ya kumkatisha tamaa, umekuwa chachu ya kuongeza juhudi na kuhakikisha kila mara anakuwa bora zaidi.

SIMBA imeanza safari ya kwenda Afrika Kusini kwenye kambi yao fupi ya siku 10 kujiandaa na mechi za mashindano tofauti zijazo, lakini hasa mchezo wa Dabi ya Kariakoo dhidi ya Yanga utakaochezwa Oktoba 10, 2026, hata hivyo msafara wao una makundi matatu, huku nyota saba wakizuiwa Dar es Salaam na hawataungana na wenzao huko.

MCHEZO wa baiskeli hapa nchini unatarajiwa kushuhudia ushindani mkali Jumapili hii, Septemba 27, 2026 wakati makundi matano ambayo ni watoto, wanawake, wanaume, wazee na wanaojifurahisha yanayohusisha zaidi ya waendesha baiskeli 100 kutoka mikoa mbalimbali watakapokutana katika mashindano ya Pedal Persuit Training Race yatakayofanyika Coco Beach, Dar es Salaam.

TIMU ya Taifa ya Tenisi kwa kutumia kiti mwendo imewaandaa wachezaji wawili, Tamela Kinaweda na Aidan Selestine, kuiwakilisha Tanzania katika mashindano ya ITF Junior Series chini ya umri wa miaka 18 yatakayofanyika Afrika Kusini.

DAR ES SALAAM: TANZANIA has intensified its preparations for the African Cup of Nations (AFCON), as the government targets a 99 percent completion of all major infrastructure by December this year, the Minister for Culture, Arts and Sports Paul Makonda has disclosed. Makonda made the remarks on September 24, 2026, while speaking to journalists in…

BAADA ya Zimamoto kuwasulubu mabaharia KMKM kwa mabao 2-1, Kocha Mkuu wa timu hiyo, Abdallah Mohamed 'Bares' amesema ushindi huo ulipatikana kwa mpango wa kuzuia maeneo ya mpinzani yake.

LIGI ya Daraja la Kwanza Kanda ya Unguja imeanza rasmi kwa mechi nne huku tatu zikianza na ushindi ikiwemo Ujamaa, Paje Star na Kitope.

MSHAMBULIAJI wa Timu ya Taifa ya vijana U-20, Ngorongoro Heroes, Juma Sagwe amesema amekuwa akizitumia timu za vijana kuonyesha uwezo wake, akiamini kila fursa anayopata inaweza kuwa hatua muhimu katika safari yake ya soka.

ENUGU — Former President of the Nigerian Bar Association (NBA), Mazi Afam Osigwe, SAN, has raised concerns over the increasing role of the courts in determining electoral outcomes in Nigeria, warning that the judiciary should not gradually replace voters in deciding who represents the people. Osigwe spoke on Thursday while delivering a presentation titled “Election […]

Global entrepreneur and Chairman of Lagos-based Farmafrik, Les Ojugbana, has announced plans to provide eligible staff with a financial bonus to invest directly in the Dangote Refinery Initial Public Offering (IPO). Ojugbana said the initiative would support the refinery while enabling Farmafrik employees to participate in a potentially significant long-term investment. “It is important that […]

England winger Anthony Gordon has urged the Three Lions to stop trying to replicate Spain’s possession-based style and instead play to their own strengths.

SERIKALI ya Tanzania imejihakikishia hadi Desemba 2026, maandalizi yote ya Michuano ya Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027, yatakuwa yamefikia ukomo kwa zaidi ya aslimia 90, hadi 100.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amesema Serikali imelipa Sh 104 bilioni kwa ajili ya kuandaa na kupata haki ya matangazo kwenye Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027.

DAR ES SALAAM: DEFENDING champions Tanzania have been drawn in Group C alongside Djibouti and Kenya in the CECAFA U-17 Africa Cup of Nations (AFCON) qualifiers. The draw was conducted yesterday at the Azam TV studios in Dar es Salaam, with Tanzania learning their opponents as they begin their campaign to retain the title they…

DAR ES SALAAM: THE Tanzania Football Federation (TFF) has expressed concern over the use of its logo during a press conference organised by Sandaland Fashion Wear in Dar es Salaam. In a statement published on its Instagram account, the federation said it was not involved in the press conference and had not been informed beforehand…

ARUSHA: EAST Africa could unlock a larger regional tourism market by making travel between neighbouring countries faster, cheaper and more seamless, but high airfares and fragmented transport systems remain a major constraint, tourism executives said. Chief Executive Officer of Sports and Active Tourism Events Promotion (SATEP), Tim Mdinka organisers of the Serengeti Safari Marathon and…

By Omeiza Ajayi ABUJA: The Nigerian Correctional Service NCoS has unveiled its first-ever unified Training Manual, replacing the Service’s 2019 training manual with a new, standardised curriculum, alongside the introduction of unified professional Course Badges across all its training institutions nationwide. This was contained in a statement issued by the Service Public Relations Officer, Chief […]

The Super Eagles of Nigeria will begin their 2027 Africa Cup of Nations qualifying campaign when they host Madagascar at the Godswill Akpabio International Stadium, Uyo, on Friday.

The former Manchester United midfielder’s contract was due to run until June 2027.

By Omeiza Ajayi ABUJA: Minister of the Federal Capital Territory (FCT), Nyesom Wike, has denied insinuations that the political strategy deployed by the Peoples Democratic Party (PDP) G5 during the 2023 presidential election amounted to manipulation of the outcome in Rivers State. Wike said no evidence was tendered at the tribunal to support claims that […]

Sowore said his candidacy was reflected in the final list released by the Independent National Electoral Commission (INEC).

TIMU ya Taifa ya vijana chini ya miaka 17, Serengeti Boys, imepangwa Kundi C pamoja na Kenya na Djibouti katika kuwania tiketi ya Ukanda wa CECAFA kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON U-17) mwaka 2027.

KOCHA wa Timu ya Taifa ya Wanawake, Twiga Stars, Bakari Shime, ameita kikosi cha wachezaji 23 kitakachoingia kambini Oktoba 1, 2026 kwa ajili ya maandalizi ya michezo miwili ya kufuzu Olimpiki dhidi ya Botswana.

Many African coastal and island nations have limited offshore patrol capabilities, and some also lack sufficient air assets.

…Company liaises with DSS, Police, NSCDC to protect staff By Victor Ahiuma-Young BAUCHI — Jos Electricity Distribution Plc, JED, has moved to strengthen security around its personnel in Bauchi following a clash between some of its staff and personnel of the Nigerian Air Force, NAF, over the disconnection of electricity supply to NAF residential quarters. […]


The United Kingdom has removed teachers trained in Nigeria, Ghana and India from the list of countries whose teachers can use its direct application service for Qualified Teacher Status, QTS, in England. The change, which takes effect from September 9, 2026, means teachers trained in the three countries will no longer be eligible to use […]


By Luminous Jannamike ABUJA — The Sultan of Sokoto, Alhaji Muhammadu Sa’ad Abubakar III, has charged religious leaders to ensure that nobody escapes the law because of religious, family or personal connections, saying even those close to them must face justice if involved in corruption. He said religious leaders must resist the temptation to protect […]
