Follow the East African economy: markets and currencies, trade and investment, banking and finance, agriculture, mining and the companies and policies that move them.
Ask ten Nigerians which trading platform is best and you'll get twelve answers, a few WhatsApp forwards and at least one cousin who "made money last year." Trading has exploded in popularity from Lagos to Abuja to Port Harcourt, driven by smartphones, a young population and, frankly, the desire to protect savings from a weakening naira.
A BUSINESS forum in Dubai has encouraged Tanzanians living and working in the United Arab Emirates to consider investing back home, particularly in the rapidly expanding real estate and property sectors. Organised by Mkuyu Africa, the forum brought together Tanzanian entrepreneurs and traders to discuss investment opportunities in Tanzania and ways of acquiring property through…
The Nigeria Customs Service, NCS has announced the deployment of a Simplified Baggage Import Declaration System at the Seme Area Command. This marks a new phase in its drive for digital innovation, trade facilitation, and improved passenger clearance processes. The initiative is designed to streamline baggage declaration, reduce clearance time, and enhance transparency for legitimate […]
MTANDAO mkubwa wa biashara haramu ya watoto unaoanzia vijijini na maeneo ya mipakani hadi Nairobi na mataifa ya kigeni unaendeshwa na maajenti, wasafirishaji, mabroka na wakati mwingine maafisa katika taasisi zinazopaswa kulinda watoto, kwa mujibu wa ripoti mpya. Ripoti ya National Crime Research Centre (NCRC) inaonyesha kuwa watoto husafirishwa kupitia barabara kuu na njia za siri, wakibadilishwa magari yanayowabeba mara kadhaa kabla ya kufikishwa kwa wanaowanyanyasa. Utafiti huo, uliopewa jina la Preliminary Findings on a Study on Child Trafficking in Kenya, unaonyesha kuwa baadhi ya maafisa wa polisi na uhamiaji wanapokea hongo ili kuruhusu watoto kuvuka mipaka bila stakabadhi zinazohitajika. Mojawapo ya njia kuu za ulanguzi wa watoto inaanzia Bondo kupitia Nyironge, Uriri, Ulanda, Kopanga, Kogaja, Aganga, Kisii na Sotik kuelekea Nairobi na Mombasa. Njia nyingine inapitia Moyale, Marsabit, Isiolo na Meru hadi Nairobi. Katika Kaunti ya Busia, ripoti inaeleza kuwa watoto huingia nchini kupitia njia za panya kama Sofia kabla ya kubadilishwa mavazi na kuendelea na safari. Kaunti ya Kakamega imetajwa mara kwa mara kama chanzo cha wasichana wanaopelekwa Nairobi kufanya kazi za nyumbani. Wahalifu hao huwateua watoto kulingana na mazingira yao. Watoto waliokatiza masomo huahidiwa kazi, wale kutoka familia maskini huahidiwa ufadhili wa elimu, huku mayatima wakiahidiwa makazi na huduma za malezi. Aidha, wahalifu wanatumia mitandao ya kijamii kama Facebook, TikTok, Instagram na WhatsApp kuwavutia watoto. Katika kisa kimoja Nakuru, mtoto alitumiwa pesa za nauli kupitia M-Pesa na kupewa maelezo ya kusafiri hadi Nairobi na baadaye Garissa. Ripoti hiyo pia imebaini kuwa visa vya biashara haramu ya watoto huongezeka wakati wa likizo za shule na vipindi vya matatizo ya kiuchumi. Miezi ya Januari na Februari ilitajwa kuwa hatari zaidi kutokana na shinikizo la karo za shule. Jambo linalotia wasiwasi ni madai ya ufisadi katika taasisi za serikali. Waliohojiwa katika kaunti za Migori, Narok, Wajir na Garissa walidai baadhi ya maafisa hupokea hongo ili kurahisisha usafirishaji wa watoto. Aidha, baadhi ya familia na jamii hutatiza uchunguzi kwa kusuluhisha kesi nje ya mfumo rasmi wa sheria kupitia maslaha au mahakama zisizo rasmi. Takwimu zilizomo kwenye ripoti zinaonyesha visa vya biashara haramu ya watoto viliongezeka kutoka 1,947 mwaka 2022 hadi 2,322 mwaka 2025. Watoto wenye umri wa kati ya mwaka mmoja na mitano ndio walio katika hatari kubwa huku wasichana wakikabiliwa zaidi na hatari ya unyanyasaji wa kingono, ndoa za kulazimishwa na ajira za nyumbani. Ripoti hiyo pia imeonya kuwa watoto wasio na vyeti vya kuzaliwa huwa rahisi kufichwa na wahalifu kwa sababu ni vigumu kufuatilia utambulisho wao. Nairobi imetajwa kuwa kituo kikuu cha kupokea na kusafirisha watoto, huku mitandao ya biashara hiyo ikienea hadi Tanzania, Uganda, Rwanda, Burundi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Somalia, Libya na Saudi Arabia. NCRC imesema kuwa kukabiliana na biashara hiyo kutahitaji zaidi ya kuwaokoa watoto pekee. Inataka uchunguzi ulenge fedha zinazohusika, maajenti, wasafirishaji, wamiliki wa maeneo wanakofichwa na wanaonufaika na unyanyasaji huo ili kuvunja kabisa mtandao huo.
By Steve Oko UMUAHIA — The Federal Government has begun moves to support businesses in Abia State, particularly the textile and garment industry in Aba, with infrastructure and access to finance identified as key constraints requiring urgent intervention. Special Adviser to President Bola Tinubu on Industry, Trade and Investment, John Uwajimogu, disclosed this on Wednesday […]
BUJUMBURA: THE Tanzanian government and Burundi have jointly agreed to strengthen strategic cooperation in various development areas, including politics and diplomacy, security, trade, investment, infrastructure, energy and social development. The move aims to expand economic opportunities and improve the lives of citizens in the two countries, in implementation of the resolutions of the Sixth Meeting…
DAR ES SALAAM: TANZANIA has commended its diplomatic relations and longstanding friendship with China, saying the cooperation has contributed to the country’s development through trade, investment, infrastructure, education and other sectors. The statement was made by the Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation, Ambassador Dr Mahmoud Thabit Kombo, who was the guest of…
GEITA: SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limewataka wafanyabiashara wa madini, wachimbaji na wasindikaji kuanzisha mifumo ya usimamizi wa ubora, mazingira, matumizi ya nishati pamoja na afya na usalama mahali pa kazi, ili kuhakikisha shughuli zao zinaendeshwa kwa kuzingatia viwango vya kimataifa. Meneja wa TBS Kanda ya Ziwa Magharibi, Joseph Makene, amesema hayo wakati akizungumza katika…
GEITA: MAMLAKA ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE) imepanga kusimamia kampeni ya usajili na uwekaji wa chapa ya ‘Made in Tanzania’ katika madini yanayozalishwa nchini. Mpango huo ni sehemu ya utekelezaji wa kampeni ya matumizi ya chapa ya Made in Tanzania katika bidhaa zote zinazozalishwa nchini ikiwa ni sehemu ya utambulisho wa taifa nje ya…
KIBAHA: LOCAL investors have urged the government to create a framework giving businesses access to strategically located sites backed by public infrastructure, saying this could accelerate production, agro-processing, trade and privatesector investment across the Coast Region. The call was made recently at an investment forum in Kibaha, Coastal Region which involved business stakeholders, saying some…
Gbadamosi described the exercise as “performative misgovernance” and alleged that the administration was deliberately allowing Lagos to be overwhelmed by refuse.
SERIKALI za kaunti zililipa Sh8.3 bilioni kama mishahara kama pesa taslimu badala ya kutumia mfumo rasmi wa kidijitali, hatua ambayo imeibua hofu kuhusu matumizi mabaya ya fedha za umma. Ripoti mpya ya Mdhibiti wa Bajeti (COB) Margaret Nyakang’o imeonyesha kuwa kaunti ziliendelea kutumia vocha kulipa baadhi ya wafanyakazi, licha ya kuwepo kwa mfumo wa kulipa wa HRIS uliowekwa ili kudhibiti na kuzuia wizi katika malipo ya mishahara. Kaunti zilizoongoza kwa ukiukaji huo ni Nakuru, Wajir, Nairobi, Siaya na Mandera, zikifuatwa na Meru, Elgeyo Marakwet, Kitui, Busia na Lamu. Ripoti hiyo inayohusu mwaka wa kifedha uliokamilika Juni 30, 2026, inaonyesha kuwa malipo ya kawaida ya kutoa pesa taslimu, yalitumika zaidi kuwalipa vibarua, marupurupu ya ziada kwa maafisa wa usalama, wafanyakazi ambao hawakuwa wameingizwa kwenye HRIS na michango ya pensheni. Dkt Nyakang’o alisema mfumo huo unaweka fedha za umma katika hatari ya kutumiwa vibaya na unaweza kuruhusu kuwepo kwa wafanyakazi hewa. “Malipo kwa njia ya kawaida yanaweza kusababisha pesa kupotea. Kaunti ambazo zinatumia njia hii sana ni Nakuru, Wajir, Nairobi, Siaya na Mandera,” akasema Dkt Nyakang’o. Kaunti ya Nakuru iliongoza kwa kutumia Sh1.86 bilioni kupitia mfumo wa malipo ya kawaida, kiasi kilichowakilisha asilimia 21.8 ya gharama ya mishahara. Fedha hizo zilijumuisha mishahara ya wafanyakazi 18 ambao hawakuwa kwenye HRIS na vibarua 596. Wajir ilitumia Sh755.35 milioni, huku Nairobi ikitumia Sh496.07 milioni. Siaya ilitumia Sh401.65 milioni, huku Mandera ikitumia Sh362.41 milioni. Kaunti nyingine zilizotumia kiasi kikubwa ni Meru (Sh356.61 milioni), Elgeyo Marakwet (Sh264.11 milioni), Kitui (Sh259.36 milioni), Lamu (Sh236.78 milioni), Garissa (Sh231.53 milioni), Busia (Sh230.93 milioni), Kiambu (Sh207.73 milioni), Kericho (Sh202.3 milioni), Kisii (Sh210.80 milioni), Mombasa (Sh241.26 milioni), Nandi (Sh184.18 milioni), Laikipia (Sh162.57 milioni) na Tharaka Nithi (Sh157.16 milioni). Turkana (Sh141.30 milioni), Machakos (Sh131.26 milioni), Tana River (Sh132.41 milioni), Murang’a (Sh130.09 milioni) Bungoma (Sh80.55 milioni), Kajiado (Sh105.21 milioni), Taita Taveta (Sh108.25 milioni), Baringo (Sh34.87 milioni), Nyamira ((Sh70.6 milioni), Homa Bay (Sh89.73 milioni), Marsabit (Sh79.22 milioni). Nyingine ni Vihiga (Sh59.92 milioni), Uasin Gishu, (Sh42.99 milioni), Makueni (Sh35.85 milioni), Kirinyaga (Sh98.57 milioni), Samburu, Embu (Sh49 milioni), Bomet (Sh19.17 milioni), Pokot Magharibi (Sh31.68 milioni),, Kwale (Sh19 milioni), Nyeri (Sh13.53 milioni), Kakamega (Sh62.7 milioni), Kilifi (Sh31.74 milioni), Isiolo (Sh4.32 milioni) na Kisumu (Sh11.10 milioni) pia ziliripoti malipo ya mishahara nje ya HRIS. Kwa upande mwingine, Narok na Trans Nzoia ni kaunti ambazo hazikutumia njia za kawaida ya wafanyakazi kulipwa kwa kupokezwa fedha. Serikali za kaunti ziliagizwa mnamo Aprili 2024 kuhamishia shughuli zote za malipo ya mishahara kwenye HRIS kufikia Juni 2025. Dkt Nyakang’o alisema sababu zilizotolewa na kaunti ni kuchelewa kutolewa kwa nambari za wafanyakazi, kutokamilika kwa usajili kwenye HRIS, kuwaajiri vibarua, matatizo ya mtandao na ukosefu wa barua za ajira kwa baadhi ya wafanyakazi. Mifumo ya malipo ya kutoa pesa moja kwa moja yanahitaji udhibiti mkali kwa sababu huathiri uwazi na uwajibikaji katika matumizi ya fedha za umma
DOHA: TANZANIA and Qatar have signed an agreement aimed at avoiding double taxation and preventing tax evasion, in a move expected to strengthen trade, investment and economic cooperation between the two countries. The Double Taxation Agreement (DTA) was signed on Tuesday by Tanzania’s Minister for Finance, Ambassador Khamis Mussa Omar and Qatar’s Minister for Finance,…
… as Niger State gov. decries 97% import dependenceBy Cynthia Alo Nigeria spent about N183.5 billion importing raw cane sugar for refining in the first half of 2026, H1’26, according to the National Bureau of Statistics (NBS) Foreign Trade in Goods Statistics data.The data however, also shows that quarter-on-quarter, cane sugar imports declined by 26.9 percent […]
By Ndahi Marama, Maiduguri MAIDUGURI — The African Democratic Congress, ADC, in Borno State and the state police command have disagreed over the circumstances surrounding the arrest and prosecution of five youths linked to the “Tinubu Must Go” campaign. The police said the five suspects were arrested over alleged public disturbance, thuggery and possession of […]
By Olasunkanmi Akoni LAGOS — The Lagos Waste Management Authority, LAWMA, has launched a fresh enforcement operation to dislodge illegal street traders occupying road corridors and walkways around Tafawa Balewa Square, TBS, and the Costain Under Bridge/National Theatre axis. The clearance operation, carried out in collaboration with the Kick Against Indiscipline, KAI, Corps, was aimed […]
By Uzoma MarvellousThe Dangote Petroleum Refinery is reshaping West Africa’s refined petroleum products market, reducing the region’s reliance on distant imports while increasing the flow of Nigerian products to neighbouring countries, Gary Clark, Associate Director, EMEA Clean Refined Products Pricing at S&P Global Platts, has said.Clark, lead speaker at the 2026 CORAN Summit in Lagos, […]
By John Alechenu, Abuja The presidential candidate of the Social Democratic Party (SDP), Prince Adewole Adebayo, has warned the Independent National Electoral Commission (INEC) against technical failures during the 2027 general elections, urging Nigerians to resist electoral malpractice and vote trading. Adebayo made the call in his Independence Anniversary message to Nigerians on Wednesday, contained […]
A 2026 study by research firm Semantic Scholar on formalising informal trade estimates about 10.4 million MSMEs, of which roughly 8.5 million operate informally.
By Olasunkanmi Akoni LAGOS — The Lagos State Commissioner for Environment and Water Resources, Tokunbo Wahab, and the 2027 governorship candidate of the African Democratic Congress, ADC, Gbadebo Rhodes-Vivour, have engaged in a war of words over waste management and flooding in the state. The exchange followed comments by Rhodes-Vivour during an appearance on Channels […]
DAR ES SALAAM: THE Tanzanian government and the Russian Federation have agreed to strengthen digital cooperation in the economic and development sectors to promote sustainable development for the benefit of their citizens. The agreement was reached today, September 30,2026, when Tanzania’s Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation, Ambassador Mahmoud Thabit Kombo, held talks…
Some long-distance bus services resumed from Mbeya on Wednesday, but traders and bus touts said the drivers’ strike had disrupted their businesses and reduced their incomes.
DAR ES SALAAM. Kampuni ya Jan International imesema shughuli zake za biashara ya magari nchini zimeendelea kuchangia shughuli za kiuchumi kupitia ajira, mapato ya Serikali na huduma kwa wateja kutoka maeneo mbalimbali nchini. Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Ally Akbar, amesema Jan International imekuwa ikifanya biashara Tanzania kwa zaidi ya miaka 15, kipindi ambacho shughuli…
By Elizabeth Adegbesan Nigeria’s net foreign exchange (forex) inflow rose by 36.5 percent year-on-year (YoY) to $33.76 billion in the first five months of 2026 (5M’26), from $24.72 billion in the corresponding period of 2025 (5M’25). The increase came amid ongoing efforts by the Central Bank of Nigeria (CBN) to deepen the foreign exchange market, […]
The Nigerian currency, the naira, exhibited relative stability against the United States dollar across both the official and parallel market segments as trading commenced mid-week.
MRADI wa kiwanda kikubwa cha kusafisha mafuta cha Dangote kinachotarajiwa kujengwa Lamu unatazamiwa kubadilisha nafasi ya Kenya katika biashara ya mafuta huku ukipatia Afrika Mashariki uwezo mkubwa wa kujitosheleza kwa bidhaa za petroli. Kiwanda hicho cha thamani ya zaidi ya Sh2 trilioni kinatarajiwa kuwa na uwezo wa kusafisha mapipa 700,000 ya mafuta ghafi kwa siku, kiwango kinacholingana na uwezo wa Kiwanda cha Dangote nchini Nigeria ambacho sasa ni miongoni mwa vikubwa zaidi duniani. Kwa mujibu wa Kamishna wa Petroli nchini, Joseph Otieno, mapipa 700,000 kwa siku yanamaanisha kiwanda hicho kitakuwa kinatumia mafuta ghafi ya zaidi ya lita 111 milioni kila siku ili kuzalisha petroli, dizeli, mafuta ya ndege, gesi ya LPG, mafuta mazito na lami. Wataalamu wanasema uwezo huo ni mkubwa ikilinganishwa na mahitaji ya sasa ya mafuta katika Afrika Mashariki ambayo yanakadiriwa kuwa mapipa 450,000 kwa siku. Hii ina maana kuwa kiwanda hicho kitaweza kukidhi mahitaji yote ya Kenya na bado kisambaze mafuta katika nchi jirani. Kwa sasa Kenya pamoja na masoko ya kanda yanayohudumiwa na kampuni zake za mafuta hutumia takriban lita 21 milioni za petroli, dizeli na mafuta ya ndege kwa siku. Hata hivyo, kiwanda cha Lamu kinatarajiwa kuzalisha zaidi ya lita100 milioni za bidhaa hizo kila siku. Serikali inaamini uwekezaji huo utaimarisha usalama wa upatikanaji wa mafuta na kupunguza kutegemea bidhaa za petroli kutoka nje ya bara la Afrika. Pia utasaidia nchi za eneo hili kukabiliana na misukosuko ya soko la kimataifa na changamoto za usafirishaji wa mafuta. Mbali na mafuta ya kawaida, kiwanda hicho kinatarajiwa kuzalisha kemikali za viwandani zinazotumiwa kutengeneza plastiki, mbolea, vifaa vya ujenzi na bidhaa nyingine nyingi za viwandani. Mradi huo pia unatarajiwa kuwa kichocheo kikubwa cha maendeleo ya Kaunti ya Lamu. Ujenzi wake utahitaji nyumba, hospitali, vituo vya mafunzo, mabohari, maabara, huduma za mawasiliano na miundombinu mingine muhimu. Katika kipindi cha miaka mitatu ya ujenzi, mafundi wataweka mashine za kusafisha mafuta, matangi makubwa ya kuhifadhi bidhaa, mabomba ya usafirishaji, mifumo ya umeme, maji na usalama pamoja na vituo vya kupokea mafuta kutoka meli na kusafirisha bidhaa zilizokamilika. Wataalamu wanaeleza kuwa uwekezaji wa Sh2 trilioni ni sawa na karibu asilimia 12 ya Pato la Taifa la Kenya, jambo linaloonyesha ukubwa wa mradi huo. Ikiwa utekelezaji wake utafanikiwa, Lamu inaweza kuwa mojawapo ya vituo vikuu vya biashara ya mafuta na viwanda katika Afrika Mashariki na Kati.
JAKARTA: TANZANIA’S Ambassador to Indonesia, Macocha Moshe Tembele, has participated in the opening ceremony of a training programme on trade and investment promotion for African countries under the South-South and Triangular Cooperation (SSTC) programme. The training began on September 28, 2026, at the Human Resources Development Centre for Export Services and Trade in Jakarta. The…
Drug traffickers are increasingly using less conventional methods to move illicit substances, including funeral vehicles, buses, motorcycles and other commercial transport, as authorities step up efforts to disrupt the trade.
President Donald Trump has described Canada as “one of the worst countries in the entire world” as tensions between the two longtime allies continue to escalate over trade.
DOHA: TANZANIA is seeking to expand exports to Qatar and use the Gulf nation as a gateway to wider Gulf markets as it steps up efforts to attract investment in value-addition industries. The strategy was outlined yesterday in Doha by Minister for Industry and Trade, Judith Kapinga during a meeting with First Vice-Chairman of the…
Rwanda is expected to guide the coalition in coordinating unified positions on international trade, climate finance, technology, and the reform of global economic governance and multilateral institutions.
KENYA itachukua hatua muhimu kujinafasi kama kituo kikuu cha nishati na viwanda kikanda Rais William Ruto atakapoongoza hafla ya kuzindua mradi uliopendekezwa wa Kiwanda cha Mafuta Afrika Mashariki mjini Lamu hapo kesho, chenye thamani ya Sh2 trilioni. Kiwanda hicho chenye uwezo wa kusafisha mapipa 700,000 kwa siku kinachofadhiliwa na bilionea wa Nigeria Aliko Dangote, kinatarajiwa kuwa kikubwa zaidi cha aina hiyo Afrika Mashariki na kusambaza bidhaa za petroli nchini na masoko ya nchi jirani. Eneo lake katika Bandari ya Lamu vilevile inatarajiwa kuimarisha nafasi ya Kenya kama kituo kikuu cha kawi na biashara barani. Kulingana na serikali, hafla hiyo itahudhuriwa na viongozi kadhaa wa mataifa na wageni wengineo wa ngazi za juu huku Bw Dangote akiwa miongoni mwa wanaotarajiwa kuhudhuria. Nyuma ya uwekezaji huo, uwezo wake na maazimio makuu kuhusu mradi huo ni mwanamme ambaye jina lake limehusika kwa karibu na ufanisi wa biashara barani Afrika. Dangote anachukuliwa kuwa mtu tajiri zaidi Afrika huku jarida la Forbes likikadiria mali yake kuwa na thamani ya Sh4.7 trilioni kufikia Septemba 2026. Ni mwasisi, rais na mkurugenzi wa kampuni kwa jina Dangote Group, moja kati ya mashirika makubwa zaidi ya biashara Afrika Magharibi. Maisha yake yalianzia Kano, Nigeria, alipozaliwa Aprili 10, 1957, katika familia tajiri ya Hausa Muslim. Mama yake Mariya Sanusi Dantata alitoka familia yenye ushawishi mkuu ya wafanyabiashara, Dantata huku baba yake Mohamed Dangote, akiwa mfanyabiashara na mshiriki wa Dantatas. Biashara, hivyo basi, haikuwa jambo geni kwa familia ya Dangote, ilikuwa sehemu ya mazingira alimokulia bilionea huyo. Kupitia mama yake, Dangote ni kitukuu wake Alhassan Abdullahi Dantata, moja kati ya watu tajika na wafanyabiashara wakwasi Afrika Magharibi enzi ya ukoloni wa Uingereza. Dantata alijenga mali yake kupitia biashara ya bidhaa, ikiwemo kola nuts na njugu karanga na kuanzisha himaya ya biashara ambayo baadaye ingeunda sehemu ya urithi wa familia ya Dangote. Yamkini hata jina lake lilidokeza kuhusu kilichosubiri mbele. Kulingana na biografia, Aliko ina maana ya “mshindi anayetetea binadamu.” Dangote kisha aliunda himaya ya biashara ambayo viwanda, mashamba, vituo vya mafuta na bidhaa nyinginezo zimeajiri maelfu ya watu kote Afrika. Alilelewa kama Muislamu abapo alipokea mafunzo ya kidini katika madrassa kabla ya kuendelea na elimu yake rasmi. Baadaye alihudhuria shule ya serikali na kukamilisha elimu ya sekondari katika miaka ya 1970. Alisafiri Cairo, Misri ambapo alisomea Taaluma ya Biashara na Usimamizi katika chuo kikuu cha Al-Azhar. Aliporejea Nigeria, Dangote alijitosa katika tasnia ya biashara akisaidia na familia yake kifedha. Simulizi ya taaluma yake mwanzoni inasema alipata mkopo kutoka kwa mjomba yake na kutumia hela hizo katika biashara ya bidhaa kama vile mchele, sukari, na simiti. 1978, Dangote alianza rasmi taaluma yake ya biashara. Kufikia1981 biashara yake iligeuka Dangote Group.
By Ganiyu Olowu There is a moment in every public disagreement when explanation stops clarifying the issue and begins to become the issue itself. That moment may have arrived in the responses and counter responses of the Director General of the Ekiti State Bureau of Tourism, Mr. Wale Ojo-Lanre on his venom against Glocient Hospitality […]
Home Secretary Shabana Mahmood has signalled that the UK government could rethink plans to make it harder for foreign workers to obtain permanent residence, following pressure from Labour MPs and trade unions. Mahmood has faced calls to soften the proposed changes, including from Housing Secretary Angela Rayner, who previously criticised the plans. Speaking at Labour’s […]
KAHAMA: Yas Tanzania has expanded its retail and customer-service network in Kahama as growing economic activity in mining, agriculture and trade drives demand for reliable mobile, internet and digital financial services. The move follows the company’s continued expansion of its retail network and investment in digital infrastructure and services aimed at bringing mobile connectivity, customer…
THE financial markets are affected by not only the economic indicators and corporate performance but also the sentiments of investors. Every day on the trading markets, people decide whether they want to seek risk or avoid it. It is called risk-on and risk-off sentiment. It is very useful for traders to understand which one of…
MOROGORO: Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), kupitia Mradi wa Tathmini ya Mapato ya Kaboni kama Njia Endelevu ya Uwezeshaji Kifedha katika Uhifadhi na Usimamizi wa Misitu ya Jamii Tanzania kimewajengea uwezo maafisa na wananchi kutoka maeneo yenye hifadhi za misitu ya vijiji pamoja na baadhi ya vijiji vyenye misitu ya hifadhi za vijiji…
By Gabriel Ewepu Nigeria is losing an estimated N13.7 trillion annually to illicit mining and illegal trade in solid minerals, stakeholders have warned, calling for stronger enforcement, regulation and monitoring of the sector. The stakeholders said the continued exploitation and movement of valuable minerals outside the regulatory framework were depriving the government of revenue and […]
GEITA: THE government is stepping up efforts to create an enabling environment for women to participate fully in Tanzania’s mineral value chain, from exploration, mining and processing to trading, value addition and the provision of services at mining sites. The drive places women at the centre of the country’s efforts to ensure that mineral wealth…
DAR ES SALAAM: A CRATE of fresh vegetables or flowers may begin its journey on a farm in one corner of Eastern Africa, but getting it to a buyer in another country or on the global market involves a chain far more complicated than planting, harvesting and packing. Behind every shipment are roads and border…
GEITA: WAKALA wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) imewaomba wafanyabiashara, wajasiriamali na wachimbaji wadogo kuzingatia usajili wa nembo ya biashara badala ya kuishia kusajili jina la biashara pekee. Ofisa Usajili BRELA, Athumani Makuka ametoa wito huo wakati akizungumza na waandishi wa habari katika badala la BRELA kwenye viwanja vya Maonyesho ya Tisa ya Teknolojia…
KAUNTI 10 zinaongoza katika matumizi ya fedha za maendeleo katika mwaka wa kifedha wa 2025/2026, huku kila moja ikitumia zaidi ya asilimia 70 ya bajeti iliyotengewa miradi ya maendeleo. Ripoti ya Mdhibiti wa Bajeti Margaret Nyakang’o iliyotolewa wiki iliyopita inaonyesha Kilifi, Wajir, Mandera, Meru, Trans Nzoia, Kirinyaga, Marsabit, Samburu, Kericho na Vihiga ziliongoza katika matumizi hayo. Kilifi iliongoza kwa asilimia 84.52, ikifuatwa na Wajir kwa asilimia 83.03 na Mandera kwa asilimia 80. Meru ilitumia asilimia 79.04, Trans Nzoia (asilimia 73.94), Kirinyaga (asilimia 73.89), Marsabit (asilimia 73.79) na Samburu ( asilimia 73.24). Kericho na Vihiga zilitumia asilimia 71.70 na 70.16 mtawalia. Kaunti hizo 10 zilitumia jumla ya Sh34 bilioni kati ya Sh126.69 bilioni zilizotumiwa na kaunti zote 47 katika miradi ya maendeleo. “Katika mwaka wa kifedha wa 2025/2026, serikali zote 47 za kaunti zilitumia Sh126.69 bilioni katika shughuli za maendeleo, sawa na kiwango cha matumizi cha asilimia 54 ya bajeti ya maendeleo ya Sh233.69 bilioni,” inasema ripoti hiyo. Hata hivyo, matumizi ya kawaida yalichukua sehemu kubwa ya bajeti, huku kaunti zikitumia Sh369.89 bilioni, sawa na asilimia 89.23 ya matumizi yote ya Sh496.58 bilioni. Matumizi ya maendeleo yalikuwa Sh126.69 bilioni, sawa na asilimia 25.51 ya matumizi yote. Meru na Wajir pia ziliongoza katika matumizi ya kawaida, kwa asilimia 91.85 na 90.23 mtawalia. Matumizi ya maendeleo yaliongezeka kwa Sh3 bilioni ikilinganishwa na 2024/2025, ambapo kaunti zilitumia Sh123.76 bilioni. Kilifi ilitumia Sh6.3 bilioni kati ya Sh7.4 bilioni zilizotengewa maendeleo, Wajir Sh4 bilioni kati ya Sh4.9 bilioni, huku Mandera ikitumia Sh4.3 bilioni kati ya Sh5.4 bilioni. Kwa upande mwingine, kaunti 13 zilitajwa kwa kuwa na kiwango cha chini cha matumizi ya fedha za maendeleo. Kaunti hizo ni Nakuru (asilimia 48.97), Kajiado (asilimia 48.05), Baringo (asilimia 47.76), Mombasa (asilimia 45.75), Laikipia (asilimia 45.49), Kiambu (asilimia 43.10), Kisii (asilimia 41.01), Uasin Gishu (asilimia 40.10), Narok (asilimia 34.42), Elgeyo-Marakwet (asilimia 34.17), Nairobi (asilimia 28.47), Siaya (asilimia 26.53) na Kisumu (asilimia 25.92). Utawala wa Gavana Johnson Sakaja, kwa mfano, ulitumia Sh3.8 bilioni kati ya Sh13.4 bilioni zilizotengewa maendeleo Nairobi. Siaya ilitumia Sh1.6 bilioni kati ya Sh6 bilioni, huku Kisumu ikitumia Sh1.7 bilioni kati ya Sh6.7 bilioni. Ripoti pia ilieleza wasiwasi kuhusu kaunti kutumia fedha nyingi katika mishahara na shughuli za kawaida badala ya maendeleo. Kaunti zilitumia Sh235.96 bilioni kulipa mishahara, mishahara midogo na marupurupu, huku Sh133.92 bilioni zikitumika katika shughuli za ukarabati. Kaunti pia zilikusanya Sh96.08 bilioni kutokana na mapato ya ndani, sawa na asilimia 89.99 ya lengo lao la mwaka. Hii ilikuwa ongezeko kutoka Sh67.3 bilioni zilizokusanywa mwaka wa 2024/2025. Aidha, kaunti zilipokea Sh415 bilioni kama mgao wa kitaifa. Mdhibiti wa Bajeti amezitaka kaunti kudhibiti matumizi ya mishahara na kuzingatia sheria inayowataka kuweka matumizi hayo katika viwango endelevu. Ripoti inaonyesha miradi 189 yenye thamani ya Sh10.51 bilioni imekwama katika kaunti mbalimbali. Pia, kaunti ziliripoti madeni ambayo hayajalipwa yenye thamani ya Sh172.53 bilioni kufikia Juni 30, 2026. Nairobi ilikuwa na deni kubwa zaidi la Sh86.9 bilioni, sawa na asilimia 50.35 ya jumla hiyo. Bi Nyakang’o alisema baadhi ya kaunti hutumia hadi asilimia 70 ya fedha zao kulipa mishahara na kuacha asilimia 30 pekee kwa maendeleo.
By Emma Ujah, Abuja Bureau Chief The Federal Government (FG) has reduced the penalty interest rate for late settlement of tax liabilities, with the new regime taking effect from October 1, 2026. Under the new arrangement, interest on tax liabilities payable in naira will be pegged to the Central Bank of Nigeria’s (CBN) Monetary Policy […]
The dollar-to-naira exchange rate opened the new trading week on Monday, September 28, 2026, with market participants monitoring movements in the Nigerian Foreign Exchange Market (NFEM) and the parallel market.
GEITA: TANZANIA’S mineral sales reached 7.78tri/- between January and June this year, equivalent to about 66.5 per cent of the 11.7tri/- recorded during the whole of 2025, signalling strong growth in the mining sector before the year ends. The figures, based on Bank of Tanzania (BoT) statistics, were announced yesterday by Tanzania Trade Development Authority…
Financial Vanguard learnt that the apex bank would intervene on the side of customers by compelling banks to honour all legitimate withdrawal requests from domiciliary accounts and dispense foreign currencies as requested by account holders.
Emma Ujah, Abuja Bureau Chief ABUJA — The reform drive of the Nigeria Customs Service, NCS, has received international recognition, with the Comptroller-General of Customs, Adewale Adeniyi, honoured with a Special Award of Excellence at the 2026 International Public Relations Association, IPRA, Golden World Awards in Athens, Greece. A statement issued by the NCS in […]
GEITA: The Government has continued to create an enabling environment for women to participate fully in the mineral value chain, ranging from exploration, mining, processing, trading and value addition to the provision of services at mining sites. This commitment places women at the centre of Tanzania’s efforts to ensure that the country’s mineral wealth creates…