TIMU ya Zimamoto imeendeleza ushindani katika Ligi Kuu Zanzibar baada ya kuichapa Raskazone mabao 2-1 katika mchezo uliochezwa Oktoba 19, 2026 kwenye Uwanja wa Mao A uliopo Unguja.