Video
YANGA KUELEKEA ZANZIBAR KUJIANDAA NA MC ALGER
Channel: ITV Tanzania Watch on YouTube
About this video
#MICHEZO: Klabu ya soka ya Yanga SC kesho inatarajia kuelekea visiwani Zanzibar kwa ajili ya kuweka kambi fupi ya siku nne ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mchezo wake wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya MC Alger. Akizungumzia maandalizi hayo leo Novemba 23, 2026, Afisa Habari wa Yanga SC, Ali Kamwe, ameeleza kuwa kikosi hicho kinafanya maandalizi hayo kuelekea mchezo huo muhimu utakaochezwa Jumamosi hii kuanzia saa 10:00 jioni katika Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar. RADIO ZETU KWENYE VING’AMUZI: Radio One: Azam 061, Digitek 110, Capital Radio: Azam 383, Digitek 112, Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA: - Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Mix by Yas, M - Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV. #ITVDigital #ITVUpdates ITVTanzania Follow @itvtz @radioonetanzania @itv2tanzania
Related stories
SportsGhana defeat Morocco to win maiden Amputee Football World Cup title
The victory marks Ghana’s first title in the competition and a historic achievement for the country’s football.
Sports
Sports
SportsFIFA names UK as 2035 Women’s World Cup host
England, Scotland, Wales and Northern Ireland will jointly host the 2035 FIFA Women’s World Cup, while Costa Rica, Jamaica, Mexico and the United States will stage the 2031 tournament.