Ukraine's strike off Libya signals Kyiv's ability to challenge Russian influence beyond the front lines, analysts say.
‘We’ll keep sinking Russian ships’: Ukraine challenges Putin’s global reach

This story was originally published by Aljazeera.
Read the full story at AljazeeraRelated stories
InternationalIran files lawsuits in US, EU courts: Will it get justice for ‘war crimes’?
As Iran seeks accountability and compensation for alleged war crimes, experts say legal proceedings face steep hurdles.
InternationalUK sanctions Yemen’s Houthi group, four senior officials
Group must be held accountable for 'targeting our partners and innocent civilians', says Foreign Secretary Ed Miliband.
InternationalMarehemu Papa Francis alipitia vishawishi vya shetani, shajara zake za siri zafichua
VATICAN, Roma: PAPA Francis, aliyefariki Aprili 2025, alipitia kipindi kigumu cha miaka miwili cha mapambano ya kiroho kuanzia 2021, ambapo alihisi kushawishiwa na Shetani na kuhangaika kuhusu namna ya kutumia mamlaka yake kuliongoza Kanisa Katoliki. Haya yamefichuliwa katika mkusanyiko mpya wa shajara zake za siri zilizochapishwa Jumanne, zikitoa taswira ya changamoto za kiroho alizopitia katika miaka yake ya mwisho. Francis, aliyeliongoza Kanisa Katoliki kwa miaka 12, alisimulia jinsi alivyokuwa na maono ya Shetani na Jehanamu, huku akipambana na hofu ya kuwa kiongozi anayetumia na kuwadhibiti watu kwa manufaa yake. "Yote yalichanganyika na masuala ya uongozi, shinikizo kuhusu maamuzi ya kufanya, pamoja na hali ya ukavu na ukiwa wa kiroho," akasema katika maandishi ya Disemba 2022. Kadinali Victor Fernandez, aliyekuwa mshirika wa karibu wa Francis, ndiye aliyekusanya shajara hizo na kuziandaa katika kitabu chenye kurasa 160 pamoja na maelezo yake. Fernandez alisema marehemu hatimaye alitambua kuwa kipindi hicho kilikuwa jaribio baya zaidi la kiroho alilowahi kupitia. "Alijihisi kuwa katika vita vya kila mara ili asije akaangukia katika kishawishi hicho cha kishetani," akaandikaFernandez. Katika shajara ya Januari 2021, Francis aliorodhesha mara tatu maishani mwake alizohisi kumwona Shetani, ikiwemo wakati alipokuwa papa na kuhudhuria mkutano na maafisa wa Vatican. "Siwezi kusahau ukwaruzo mkubwa wa sauti yake. Bwana alinipa fursa ya kuondoka kwenye mkutano huo na hivyo akaniokoa," aliandika kuhusu tukio hilo. Pia alisimulia maono aliyopata Juni 2018 kuhusu mlango wa kuingia Jehanamu. "Usiku uliopita niliona mlango wa Jehanamu. Nilichungulia ndani kidogo na nikaingiwa na hofu kubwa. Nilishika rozari kama silaha. Namshukuru Bwana kwa msaada huo,"akaandika. Fernandez pia alisimulia jinsi Francis alivyokataa kutumia mamlaka yake kuwaadhibu maafisa waliomkosoa hadharani. Alisema papa huyo alihisi Mungu hakutaka awe kiongozi anayewatumia na kuwadhibiti wengine kama vika
InternationalRussian governor detained in rare criminal case against regional leader
Andrei Chibis, head of Russia's northern Murmansk region, is the first governor to be detained for five years.