TALA, Kangundo:
DEMU wa hapa, alishauriwa na wenzake asivunje ndoa baada ya kugungua mumewe anachepuka, wakisema hatapata mwanamume asiye na kimada.
Mwanadada huyo alishindwa kuvumilia baada ya kubaini kuwa mumewe alikuwa akichati na warembo chungu nzima kwenye simu.
Inasemekana kipusa huyo, ambaye amekuwa kwenye ndoa kwa miaka mitano, hakuwa amepekua simu ya mumewe hadi juzi jamaa alipoisahau nyumbani.
Kwa udadisi, kidosho aliamua kuichunguza na kupata jumbe za kimahaba zilizokuwa zikitumwa kwa wanawake wengine.
Akijawa na hasira, alitishia kufunga virago na kuondoka, akisema amechoka kuvumilia michepuko ya mumewe.
Hata hivyo, baadhi ya wenzake majirani walimsihi asikimbilie kuvunja ndoa wakisema wanaume wamezoea kuwa na vimada.
“Mrembo, usihepe ndoa kwa sababu ya vimada. Wanaume ni mafisi, lakini bora umjue wako kuliko kuanza upya,” walimshauri.
Usivunje ndoa yako sababu ya michepuko, wanaume wote ni mafisi, kidosho ashauriwa
TALA, Kangundo: DEMU wa hapa, alishauriwa na wenzake asivunje ndoa baada ya kugungua mumewe anachepuka, wakisema hatapata mwanamume asiye na kimada. Mwanadada huyo alishindwa kuvumilia baada ya kubaini kuwa mumewe alikuwa akichati na warembo chungu nzima kwenye simu. Inasemekana kipusa huyo, ambaye amekuwa kwenye ndoa kwa miaka mitano, hakuwa amepekua simu ya mumewe hadi juzi jamaa alipoisahau nyumbani. Kwa udadisi, kidosho aliamua kuichunguza na kupata jumbe za kimahaba zilizokuwa zikitumwa kwa wanawake wengine. Akijawa na hasira, alitishia kufunga virago na kuondoka, akisema amechoka kuvumilia michepuko ya mumewe. Hata hivyo, baadhi ya wenzake majirani walimsihi asikimbilie kuvunja ndoa wakisema wanaume wamezoea kuwa na vimada. “Mrembo, usihepe ndoa kwa sababu ya vimada. Wanaume ni mafisi, lakini bora umjue wako kuliko kuanza upya,” walimshauri.

This story was originally published by Taifa Leo.
Read the full story at Taifa LeoRelated stories
Jobs and CareerSanwo-Olu gives LASUED best graduate N5m, job
By Elizabeth Osayande Lagos State Governor, Babajide Sanwo-Olu, has rewarded the overall best graduating student of the Lagos State University of Education (LASUED), Blessed Mercy Olawunmi, with N5 million and automatic employment. The award was announced on Thursday, November 19, during the institution’s maiden convocation ceremony held at its Oto/Ijanikin campus. Olawunmi, of the Department […]
Joburg tightens water restrictions as consumers face higher tariffs
Johannesburg residents face Level 2 water restrictions and higher tariffs starting in November and December as the city aims to reduce daily consumption by 200 million litres to ease pressure on the Rand Water supply.
Joburg Council could face interdict over Soweto revote
The People of Joburg party has approached the Gauteng High Court over an irregular recount in Soweto's Ward 31, threatening to interdict the city council's first sitting and stall coalition negotiations.
Jobs and CareerInternship drive faces execution reality check
The government is stepping up efforts to expand employment opportunities for young Tanzanians, with plans to provide 30,000 internship placements while addressing gaps in access to jobs, training and business opportunities.