Video
"UNAZOEAJE KUMWAGA DAMU? - FUTA UONGOZI WOTE!" - MWIGULU AKASIRISHWA ATOA KAULI KALI...
Channel: Global TV Online Watch on YouTube
About this video
"UNAZOEAJE KUMWAGA DAMU? - FUTA UONGOZI WOTE!" - MWIGULU AKASIRISHWA ATOA KAULI KALI... Katika hotuba nzito iliyotolewa Mikumi, viongozi wameaswa kusimamia amani na kukomesha mara moja tabia ya migogoro ya ardhi na vifo vinavyotokana na visasi kati ya wakulima na wafugaji. RC na DC wameagizwa kufanya mkutano wa hadhara kusikiliza kero za wananchi kijijini hapo na kuchukua hatua kali, ikiwemo kuwafuta kazi na kuwavua madaraka viongozi wote wanaojihusisha na rushwa ya kuuza maeneo kinyemela. #Mikumi #HabariZaKitaifa #MigogoroYaArdhi #GlobalTVOnline #Habari ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: [email protected]
Related stories
GeneralMy landlord evicted us on Christmas eve for a party — Karma struck that night
Evicted on Christmas Eve, a single mother faces a landlord’s neglect, a collapsing ceiling and a dangerous furnace—until a city inspector exposes the truth.
GeneralITUC-Africa demands justice for survivors of gender violence
By Victor Ahiuma-Young The African Regional Organisation of the International Trade Union Confederation (ITUC-Africa) has called on African governments and employers to intensify efforts to end violence against women and girls, ensure justice for survivors and hold perpetrators accountable. The organisation, in a statement ahead of the International Day for the Elimination of Violence Against […]
GeneralLake Victoria proposed for UNESCO’s Living Cultural Landscape status
There is a new proposal from the United Nations Educational, Scientific and Cultural Organization's World Heritage Committee to have Lake Victoria designated as a 'Living Cultural Landscape!'
Shared Agricultural challenges and the role of innovation
South Africa's wine sector showcases how scientific innovation, climate resilience, and policy certainty can secure agricultural competitiveness and boost global market access.