KAVIANI, MACHAKOS
POLO wa hapa alishtuka mkewe alipomwambia peupe kuwa siku hizi hakuna mapenzi bila pesa.
Penyenye za mtaa zaarifu ya kwamba, demu huyo aliafikiana na mumewe atafute ajira mjini ili wafae familia yao Juzi, demu huyo alifika nyumbani kutoka mjini anakofanya kazi.
“Ukitaka kuramba asali lazima uchote,” demu akafokea mumewe.
***
Demu ateta mumewe ni mraibu wa makahaba
NYALI, MOMBASA
MWANADADA wa hapa analalamika kuwa ndoa yake inasambaratika kutokana na uraibu wa mumewe kutoka na wanawake wengine, wakiwemo makahaba na wake wa watu.
Akiwa na huzuni tele, mama huyo alifichua kuwa mumewe, amekuwa na tabia hiyo kwa miaka kadhaa sasa.
“Mambo yalianza kubadilika alipoanza kurudi nyumbani usiku sana na kukasirika kila nikimuuliza,” alisema.
Baada ya miezi ya jamaa kuficha ukweli, alilazimika kuchunguza mwenyewe na kugundua tabia chwara ya mumewe.
Hata alipomkabili na ushahidi, mumewe alikana vikali na kumlaumu kwa wivu usio na msingi.
Jitihada zake za kumshawishi mumewe kupata ushauri nasaha hazikuzaa matunda, kwani hakuwa tayari kubadilika.
“Naishi na mtu mchafu kimaadili, muogo na mzinifu,” demu alilalamika.
Ukitaka ‘mechi’ nilipe kwanza, msupa aambia mumewe
KAVIANI, MACHAKOS POLO wa hapa alishtuka mkewe alipomwambia peupe kuwa siku hizi hakuna mapenzi bila pesa. Penyenye za mtaa zaarifu ya kwamba, demu huyo aliafikiana na mumewe atafute ajira mjini ili wafae familia yao Juzi, demu huyo alifika nyumbani kutoka mjini anakofanya kazi. “Ukitaka kuramba asali lazima uchote,” demu akafokea mumewe. *** Demu ateta mumewe ni mraibu wa makahaba NYALI, MOMBASA MWANADADA wa hapa analalamika kuwa ndoa yake inasambaratika kutokana na uraibu wa mumewe kutoka na wanawake wengine, wakiwemo makahaba na wake wa watu. Akiwa na huzuni tele, mama huyo alifichua kuwa mumewe, amekuwa na tabia hiyo kwa miaka kadhaa sasa. “Mambo yalianza kubadilika alipoanza kurudi nyumbani usiku sana na kukasirika kila nikimuuliza,” alisema. Baada ya miezi ya jamaa kuficha ukweli, alilazimika kuchunguza mwenyewe na kugundua tabia chwara ya mumewe. Hata alipomkabili na ushahidi, mumewe alikana vikali na kumlaumu kwa wivu usio na msingi. Jitihada zake za kumshawishi mumewe kupata ushauri nasaha hazikuzaa matunda, kwani hakuwa tayari kubadilika. “Naishi na mtu mchafu kimaadili, muogo na mzinifu,” demu alilalamika.
This story was originally published by Taifa Leo.
Read the full story at Taifa LeoRelated stories
Jobs and CareerSanwo-Olu gives LASUED best graduate N5m, job
By Elizabeth Osayande Lagos State Governor, Babajide Sanwo-Olu, has rewarded the overall best graduating student of the Lagos State University of Education (LASUED), Blessed Mercy Olawunmi, with N5 million and automatic employment. The award was announced on Thursday, November 19, during the institution’s maiden convocation ceremony held at its Oto/Ijanikin campus. Olawunmi, of the Department […]
Joburg tightens water restrictions as consumers face higher tariffs
Johannesburg residents face Level 2 water restrictions and higher tariffs starting in November and December as the city aims to reduce daily consumption by 200 million litres to ease pressure on the Rand Water supply.
Joburg Council could face interdict over Soweto revote
The People of Joburg party has approached the Gauteng High Court over an irregular recount in Soweto's Ward 31, threatening to interdict the city council's first sitting and stall coalition negotiations.
Jobs and CareerInternship drive faces execution reality check
The government is stepping up efforts to expand employment opportunities for young Tanzanians, with plans to provide 30,000 internship placements while addressing gaps in access to jobs, training and business opportunities.