SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) linatarajia kunufaika na ongezeko la mgao wa mwaka kutoka Shirikisho la Soka Afrika (CAF), baada ya kiwango cha fedha kinachotolewa kwa vyama wanachama kupandishwa hadi Dola 700,000, sawa na takribani Sh2.4 bilioni.