Video
TAHARUKI TAMASHA LA DON TOLIVER - WATU 12,000 WAONDOLEWA KUKIMBIA KEMIKALI MANCHESTER
Channel: Global TV Online Watch on YouTube
About this video
TAHARUKI TAMASHA LA DON TOLIVER - WATU 12,000 WAONDOLEWA KUKIMBIA KEMIKALI MANCHESTER Zaidi ya watu 12,000 wamelazimika kuondolewa kwa dharura katika ukumbi wa burudani wa Co-op Live uliopo Manchester, Uingereza, baada ya kutokea kwa hali ya kutatanisha iliyosababisha watu kupata matatizo ya kupumua na kukohoa ghafla. Tukio hilo lilitokea wakati msanii wa Marekani, Don Toliver, akiwa jukwaani akitumbuiza. Polisi nchini Uingereza wameanzisha uchunguzi kubaini dutu au kemikali iliyosababisha taharuki hiyo ndani ya ukumbi. #DonToliver #Manchester #CoopLive #HabariZaKimataifa #GlobalTVOnline #BreakingNews ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: [email protected]
Related stories
EntertainmentGeorge Ruto's matatu driver Ostoh caught on camera whipping touts in Nairobi CBD
A video of Ostoh, a 98 Sacco matatu driver, whipping a tout in Nairobi has divided Kenyans, renewing concerns over tout safety and road risks in Nairobi.
EntertainmentWOLPER "HARMONIZE ALINIHONGA DOLA 2000 NIKANUNUA CHEREHANI"
EntertainmentTikToker corners Jeff Koinange outside Citizen TV studios over KSh 350 subscription fee
TikToker Canny Kish visited Royal Media Services in Nairobi to dodge the KSh 350 YouTube fee, confronting security before meeting news anchor Jeff Koinange.
EntertainmentMazito yaibuliwa penzi la Diamond na Linah! Zuchu ajibiwa kwa kumuita Linah na Nandy wake wenza
FOLLOW KURASA ZETU ZA MITANDAO YA KIJAMII: Instagram