Video
RC DODOMA AFICHUA MPANGO KABAMBE WA KUPOKEA WANAFUNZI MARA TATU ZAIDI MWAKA 2028
Channel: Global TV Online Watch on YouTube
About this video
RC DODOMA AFICHUA MPANGO KABAMBE WA KUPOKEA WANAFUNZI MARA TATU ZAIDI MWAKA 2028 Mkuu wa Mkoa wa Dodoma ametoa wito mzito kwa wadau wa maendeleo, viongozi wa serikali, na wananchi kujitokeza kwa wingi kuchangia sekta ya elimu mkoani humo ili kuiwezesha serikali kupata ruzuku nono itakayoboresha miundombinu ya shule. Akizungumza katika mkutano huo, RC Dodoma amebainisha kuwa mwaka 2028 kutakuwa na ongezeko kubwa la wanafunzi watakaojiunga na kidato cha kwanza—idadi ikitarajiwa kuwa mara mbili hadi mara tatu ya wanafunzi watakaojiunga mwaka 2027 kutokana na makundi mawili kuingia kwa pamoja. Hali hii inahitaji maandalizi ya mapema ya madarasa, walimu, na rasilimali za ziada. Aidha, amemshukuru na kumpongeza Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na timu yake kwa maono makubwa ya kuboresha mazingira ya kujifunzia na kufundishia nchini, huku akisisitiza kauli mbiu ya mkoa huo: "Uwajibikaji wangu ni msingi wa kuinua ubora wa elimu na ufaulu Dodoma" #RCDodoma #ElimuTanzania #RaisSamia #Dodoma #GlobalTVOnline #HabariMpya ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: [email protected]
Related stories
EducationalFrom Straw to Permanent Classrooms: Transforming Learning Environments in Niger
New classrooms built within three months that are equipped with furniture, solar power, and internet connectivity are improving learning conditions.
EducationalWALIMU 3,900 WA UFUNDI STADI KUNUFAIKA NA MAFUNZO YA MFUMO MPYA
WALIMU 3,900 WA UFUNDI STADI KUNUFAIKA NA MAFUNZO YA MFUMO MPYA #globaltv #breaking
EducationalMaseno University appoints Prof Godrick Bulitia as new vice-chancellor
The Maseno University Council has appointed Professor Godrick Mathews Bulitia as vice-chancellor following a recruitment process by the Public Service Commission.
EducationalKijana Tubonge forum educates 13,000 students on mental health, GBV, climate justice, empowerment.
MWANZA: OVER 13,000 university students across the country have been reached by the ‘Kijana Tubonge’ discussion forum since its inception in March 2026. Speaking during a special interview at St. Augustine University of Tanzania (SAUT) Mwanza campus, today, November 28, 2026, Mr Edward Masele, Secretary General of Activista Tanzania, explained that in the Mwanza region,…