VideoUpcoming
PROF. KITILA MKUMBO "WALIDHANI MIMI NI MTOTO WA RPC" - AFICHUA KISA CHA KUUZA NYANYA NA KUKATAA CHUO
Channel: Global TV Online Watch on YouTube
About this video
PROF. KITILA MKUMBO "WALIDHANI MIMI NI MTOTO WA RPC" - AFICHUA KISA CHA KUUZA NYANYA NA KUKATAA CHUO Waziri na Profesa Kitila Mkumbo amesimulia safari yake ya maisha iliyojaa changamoto, kuanzia biashara ya kuuza nyanya sokoni Dodoma hadi alivyofanikiwa kujiunga na Jeshi la Polisi (CCP Moshi) bila kuwa na ndugu yeyote, hali iliyowafanya wenzake wadhani yeye ni mtoto wa RPC. Katika simulizi hii yenye hamasa, Prof. Kitila Mkumbo pia anafichua sababu zilizomfanya akatae nafasi ya kujiunga na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) mwaka 1995 baada ya kuanza mafunzo ya upolisi, na jinsi Mkuu wa Chuo cha CCP Moshi alivyomshawishi na kumlipia nauli ya treni kwenda kusoma shahada yake ya kwanza. #KitilaMkumbo #GlobalTVOnline #SimuliziZaMaisha #CCPMoshi #HabariTanzania ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: [email protected]
Related stories
GeneralWIKIENDI HII HAPA AGIZA SASA
NUNUA BIDHAA NA KUKATA TIKETI WHATSAPP! 𝐓𝐞𝐦𝐛𝐞𝐥𝐞𝐚 👉 https://kikapay.co.tz/ 𝐚𝐮 𝐖𝐡𝐚𝐭𝐬𝐀𝐩𝐩: +𝟐𝟓𝟓 𝟔𝟓𝟏 𝟎𝟓𝟗 𝟎𝟒𝟎
GeneralShangwe La Vodacom Kuelekea Msimu Wa Sikukuu, Jetour 5 Mpya Kutolewa
Pata habari motomoto za muziki, burudani, utamaduni, siasa, matukio, habari za kina, na michezo kupitia Wasafi Media. Hii Ni Yetu Sote. 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2025 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍…
GeneralKenya calls for unconditional lifting of Zimbabwe sanctions
Nairobi describes the measures as unfair and detrimental to ordinary citizens.
General