Video
PETER SHALULILE "LIGI KUU YA TANZANIA NI NGUMU NA USHINDANI SANA" - SIHITAJI KUONESHA HAPA
Channel: Global TV Online Watch on YouTube
About this video
PETER SHALULILE "LIGI KUU YA TANZANIA NI NGUMU NA USHINDANI SANA" - SIHITAJI KUONESHA HAPA Mshambuliaji Peter Shalulile afunguka kuhusu ugumu na ushindani wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara, pamoja na simulizi ya jinsi Rais wa Yanga SC alivyomfuata miaka kadhaa iliyopita kabla ya kujiunga na timu hiyo. Tazama mahojiano haya ya kipekee akieleza mtazamo wake kuhusu soka la Tanzania na safari yake. #PeterShalulile #YangaSC #NBCPremierLea ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: [email protected]
Related stories
Sports
SportsSenegal to know fate of AFCON title appeal Tuesday – CAS
"The parties have been notified that the CAS decision will be rendered Tuesday 24 November 2026 in the course of the afternoon (GMT)," CAS said in a short statement on Monday.
SportsVIWANJANI | Yanga ya Fadlu Davids yaanza kunoga.
Mchambuzi wa soka @juma_abdul_12 amesema Yanga chini ya kocha Fadlu Davids imebadilika kwa kiasi kikubwa, siyo tu katika utimamu wa mwili (fitness) bali pia katika mfumo wa kucheza. Juma anaeleza…
SportsGeita Gold FC 2-1 Mashujaa FC | Highlights | NBC Premier League - 22/11/2026
#NBCPL: Tazama magoli yote matatu yaliyofungwa kwenye mchezo kati ya Geita Gold dhidi ya Mashujaa FC. Magoli yamefungwa na Fabrice Ngoy Arnaud Noah kwa upande wa Geita Gold huku kwa upande wa…