Msanii Shamsa Ford alamba dili nono la ubalozi
Ni hatua nyingine kubwa ya mafanikio kwa msanii wa filamu nchini Shamsa Ford ambaye hivi sasa amelamba dili nono la ubalozi wa bidhaa mpya ya Karanga ijulikanayo kama YY Karanga kutokea Kampuni ya YLM4. Shamsa akizungumza na waandishi wa habari baada ya kutangazwa kuwa Balozi wa bidhaa hiyo amesema… “Uwepo wa bidhaa hiyo ni […]
The post Msanii Shamsa Ford alamba dili nono la ubalozi first appeared on Millard Ayo.
Ni hatua nyingine kubwa ya mafanikio kwa msanii wa filamu nchini Shamsa Ford ambaye hivi sasa amelamba dili nono la ubalozi wa bidhaa mpya ya Karanga ijulikanayo kama YY Karanga kutokea Kampuni ya YLM4.
Shamsa akizungumza na waandishi wa habari baada ya kutangazwa kuwa Balozi wa bidhaa hiyo amesema…
“Uwepo wa bidhaa hiyo ni fursa ya kipekee kwa vijana wengi kupata ajira na kuacha kukaa mtaani bila kazi hivyo wajitokeze kuchangamkia fursa kutoka kwa Kampuni hiyo”.
The post Msanii Shamsa Ford alamba dili nono la ubalozi first appeared on Millard Ayo.