PARIS: NYOTA wa Paris Saint-Germain (PSG), Khvicha Kvaratskhelia, anakabiliwa na kipindi kigumu baada ya kuripotiwa kupata jeraha la goti katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Barcelona.
Kvaratskhelia aliumia goti la kulia wakati wa mchezo huo uliofanyika Oktoba 20, 2026, ambapo PSG iliibuka na ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya Barcelona.
Ripoti za awali zinaeleza kuwa mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Georgia anadaiwa kupasuka kano ya mbele ya goti (ACL), jeraha linaloweza kumuweka msimu mzima wa 2026/2027.
Mchezaji huyo alilazimika kutolewa uwanjani kabla ya mchezo kumalizika, hali iliyozua wasiwasi kuhusu hali yake na mchango wake katika michezo ijayo ya klabu hiyo.
Jeraha la ACL kwa kawaida huhitaji matibabu ya kina na wakati mwingine upasuaji, huku muda wa kurejea uwanjani ukitegemea ukubwa wa jeraha na maendeleo ya mchezaji katika kipindi cha matibabu.
Kvaratskhelia nje msimu mzima

This story was originally published by Habari Leo.
Read the full story at Habari LeoRelated stories
SportsTPA yabeba medali tisa riadha Moro
MOROGORO: TIMU ya riadha ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imehitimisha kwa mafanikio katika mchezo wa riadha kwenye mashindano ya Shirikisho la Michezo ya Mashirika ya Umma, Taasisi na Makampuni Binafsi Tanzania (SHIMMUTA) 2026, yanayoendelea mkoani Morogoro kwa kutwaa jumla ya medali tisa. Katika mashindano hayo, TPA imefanikiwa kujinyakulia medali tatu za dhahabu,…
SportsEquity Group CEO on dividends, growth amid cyber threats and rising profits
'We have shown our ability to replicate returns made in Kenya in new markets in a shortened time.'
SportsSimba Corp eyes up to 20pc cut in MG car prices in local assembly
Simba Corp is MG’s exclusive distributor in Kenya and has until now been importing its internal combustion engine (ICE) and electric cars fully built.
SportsPolisi,Yanga kesho ni vita ya pointi tatu Ushirika
VITA ya pointi tatu inatarajiwa kupamba moto kesho Ijumaa, Novemba 20, wakati Polisi Tanzania itakapoikaribisha Yanga kwenye Uwanja wa Ushirika, Moshi, huku kila timu ikiwa na kiu ya kuhitaji ushindi.