WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema Tanzania imepokea mkataba wa ajira 50,000 za nje za nchi.
Balozi Kombo amesema hayo kwenye mkutano wa kampeni za mgombea urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan katika Viwanja vya Tanesco Buza wilayani Temeke jana. “Tumepokea taarifa ya mkataba wa ajira kwa ajili ya vijana wa Kitanzania wenye umri wa miaka 20 hadi 35 kufanya kazi nchi za nje na kuna ajira nyingine 20,000 zipo njiani kuja. Hivyo, vijana mjitayarishe, Samia anafanya kwa vitendo na si kwa maneno,” alisema. Balozi
Kombo amesema Serikali ya Awamu ya Sita katika ilani iliyopita iliahidi ajira 5,000,000 na ikatekeleza zaidi ya kiwango hicho. Ameongezea kuwa katika ilani ya uchaguzi ya CCM 2025-2030 malengo ya fursa za ajira yameongezwa hadi kufikia 8,000,000. SOMA: Mwinyi aahidi ajira kwa vijanaThe post Kombo atangaza fursa ajira 50,000 nje ya nchi first appeared on HabariLeo.
Kombo atangaza fursa ajira 50,000 nje ya nchi

This story was originally published by Habari Leo.
Read the full story at Habari LeoRelated stories
Jobs and CareerSanwo-Olu gives LASUED best graduate N5m, job
By Elizabeth Osayande Lagos State Governor, Babajide Sanwo-Olu, has rewarded the overall best graduating student of the Lagos State University of Education (LASUED), Blessed Mercy Olawunmi, with N5 million and automatic employment. The award was announced on Thursday, November 19, during the institution’s maiden convocation ceremony held at its Oto/Ijanikin campus. Olawunmi, of the Department […]
Joburg tightens water restrictions as consumers face higher tariffs
Johannesburg residents face Level 2 water restrictions and higher tariffs starting in November and December as the city aims to reduce daily consumption by 200 million litres to ease pressure on the Rand Water supply.
Joburg Council could face interdict over Soweto revote
The People of Joburg party has approached the Gauteng High Court over an irregular recount in Soweto's Ward 31, threatening to interdict the city council's first sitting and stall coalition negotiations.
Jobs and CareerInternship drive faces execution reality check
The government is stepping up efforts to expand employment opportunities for young Tanzanians, with plans to provide 30,000 internship placements while addressing gaps in access to jobs, training and business opportunities.