JKU imepanda kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) baada ya kuichapa Mafunzo mabao 2-1, matokeo yaliyoishusha Zimamoto hadi nafasi ya pili.