MABINGWA wa Ligi Kuu NBC, Yanga ikiwa katika kiwango cha juu, leo ilitumia msemo wa huruma siyo malezi baada ya kuibuka na ushindi mnono wa mabao 4-0 dhidi ya CFFA ya Madagascar katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika uliopigwa kwenye Uwanja wa Azam Complex.