Video
HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55 - NOVEMBA 27, 2026
Channel: ITV Tanzania Watch on YouTube
About this video
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ; Subscribe to our Youtube Channel : bit.ly/itvtanzania Facebook : bit.ly/2KeQNl3 Twitter : bit.ly/2XG7aii Instagram : bit.ly/34KItmg
Related stories
NewsWAZIRI AWAKA: INATOKEA AJALI KILA MTU ANASHANGAA SHANGAA TU
WAZIRI AWAKA: INATOKEA AJALI KILA MTU ANASHANGAA SHANGAA TU😳 #breaking #shorts ⚫️ JE, UNA HABARI?
NewsSecurity chiefs hail IGP Disu for suspending declaration of Obaigbena, others wanted
By Emma Nnadozie THE police order suspending the wanted declaration on Arise TV owner, Mr. Nduka Obaigbena and seven others over alleged assassination attempt by Assistant Inspector-General of Police, Olohundare Jimoh, has elicited reactions from some security chiefs in the country, who said that the wanted declaration was done without due process. One of the […]
NewsHABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55 - NOVEMBA 27, 2026
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ; Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
NewsMagenge yenye mapanga yatia hofu wakazi Pwani yakipiga na kuibia boda pikipiki
WAKAZI wa maeneo mbalimbali ya Pwani wameingiwa na hofu kutokana na ongezeko la mashambulizi ya magenge yanayotumia mapanga, wizi wa pikipiki na uporaji, hasa nyakati za usiku. Mjini Mombasa, waendesha bodaboda katika maeneo ya Kisauni na Likoni wanasema wahalifu huwarai hadi maeneo yaliyotengwa, kisha kuwashambulia na kuwaibia pikipiki, simu na vitu vingine vya thamani. Shirika la kutetea haki za binadamu la Vocal Africa limeonya kuwa maeneo ya Likoni na Kisauni yamekuwa hatari kutokana na mashambulizi yanayotokea hata mchana. Shirika hilo limehusisha hali hiyo na ukosefu wa taa za barabarani na kamera za CCTV, likisema giza huwapa wahalifu nafasi ya kushambulia na kutoroka bila kutambuliwa. Ndani ya wiki moja, angalau waendesha bodaboda wanane waliripotiwa kushambuliwa na kujeruhiwa Kisauni, hasa Mshomoroni, Barsheba na Bakarani. Septemba 15, Said Faiz Khamis alishambuliwa na kundi la zaidi ya watu 10 waliokuwa na silaha eneo la Barsheba saa tano usiku. Alijeruhiwa kichwani na vidoleni huku pikipiki yake ikipatikana baadaye katika kituo cha polisi cha Kiembeni. Alisema awali alikuwa ameibiwa pikipiki nyingine na simu karibu na Kongowea. Siku iliyofuata, mwendesha bodaboda Chai Chivatsi alishambuliwa Bakarani na kujeruhiwa vidole, huku pikipiki yake ikiibwa. Hali hiyo imewalazimu baadhi ya waendesha bodaboda kusita kufanya kazi usiku, wakihofia kupoteza maisha na mali yao. Wakazi pia wamelalamikia wahalifu wanaotumia tuk-tuk kuwavizia abiria. Inadaiwa washukiwa hujifanya abiria wa kawaida kabla ya kumzingira mtu, kumuibia na wakati mwingine kumlewesha kwa dawa za kulevya. Hofu iliongezeka Oktoba 26 baada ya kundi la vijana wapatao 40 waliokuwa na silaha kuvamia kituo cha ukusanyaji ushuru cha Kaunti ya Mombasa, Likoni, na kumuua afisa wa kaunti Omari Mzerera. Walijeruhi pia afisa mmoja wa Polisi wa Utawala na maafisa wawili wa kaunti, kisha wakatoroka na bunduki aina ya AK-47. Mbunge wa Likoni Mishi Mboko alitaka uchunguzi wa kina, akisema washambuliaji hawakuiba k