Video
FAMILIA YAGOMA KUMZIKA KIJANA WAO/ ADAIWA KUUAWA KWA RISASI NA WALINZI WA MWEKEZAJI
Channel: ITV Tanzania Watch on YouTube
About this video
Familia ya Bw. Njile John, mkazi wa Kijiji cha Imalilo Songwe, Kata ya Ubaruku wilayani Mbarali mkoani Mbeya, imegoma kuzika mwili wa mtoto wao, Mboto Njile, ikishinikiza haki itendeke kufuatia kifo chake kilichotokea majira ya jioni Novemba 23 mwaka huu. Familia hiyo ikiwakilishwa na baba mzazi Bw. Njilo John na kaka wa marehemu Bw. Mohamed Njilo, inadai kuwa kijana wao alifariki baada ya kupigwa risasi na walinzi wa mwekezaji wa kampuni ya Mbarali Highland Estate kwa tuhuma za kuingia katika shamba la mwekezaji huyo. Wakizungumzia tukio hilo, Mwenyekiti wa Kijiji cha Imalilo Songwe, Bw. Habakuki Daimon, pamoja na Diwani wa Kata ya Ubaruku, Chuki Jeremia, wameeleza namna matukio ya aina hiyo yanavyoathiri jamii na usalama wa wananchi wao. Kufuatia taharuki hiyo, Katibu Tawala wa Wilaya ya Mbarali, Bw. Frank Sichalwe, amefika eneo la msiba kutoa pole kwa wafiwa na kutoa maelekezo ya serikali kuhusu kushughulikia suala hilo.
Related stories
GeneralIBADA YA SIFA KUFANYIKA DAR
GeneralMy coworker tried to get me fired for theft — But the cameras caught everything
Accused of stealing from the register, Rachel asks her manager to review security footage—what it reveals clears her name and exposes her coworker’s motive.
GeneralKogi APC chieftain Kasco dumps party, joins PDP
By John Alechenu, Abuja The Peoples Democratic Party (PDP) in Kogi Central has recorded a defection from the All Progressives Congress (APC) following the resignation of a prominent APC chieftain, Hon. Umar Kareem, popularly known as Kasco. Kareem, from Odenk Upogoro Ward in Okene Local Government Area of Kogi State, announced his resignation from the […]
GeneralNigeria records 46,909 online abuse cases in one year
By John Alechenu ABUJA — Nigeria accounted for 58 per cent of verified online gender-based violence cases recorded across Africa in the last 12 months, with 46,909 incidents documented in the country, according to data from the OGBV Evidence Tracker. The figures were unveiled at a high-level consultative meeting on digital safety and online gender-based […]