BAADA ya kukaa muda mrefu nje ya ulingo, bondia Cosmas Cheka anatarajiwa kurejea kwenye pambano la raundi nane dhidi ya Omary Sultan, akilenga kurejesha ubora wake katika mchezo wa ngumi za kulipwa.