Tanzania, Zambia and China are seeking to transform the Tanzania-Zambia Railway Authority (Tazara) into a regional economic corridor linking transport infrastructure with investment, industrial production and cross-border trade as the railway marks 50 years of commercial operations.
A look at TAZARA’s revival and its wider economic gains

This story was originally published by The Citizen.
Read the full story at The CitizenRelated stories
BusinessPato zuri la karakara za zambarau lamfanya ‘kujuta kuhangaikia mahindi’ miaka mingi
MUSA Kemei ni mkulima wa matunda ya karakara (passion fruit) eneo la Chai-Moto, Mariashoni, Molo katika Kaunti ya Nakuru. Amekuwa akikuza matunda hayo yenye rangi ya zambarau au ‘purple passion’ kwa muda wa miaka minane. "Nilikuwa nikilima mahindi kwa zaidi ya miaka 10 kabla ya kuamua kubadilisha na kuanza ukulima huu wa matunda. Hii ilitokana na kupanda kwa gharama za pembejeo za kilimo, kama vile mbolea na mbegu huku nikitumia fedha nyingi kuanzia hatua ya kuandaa shamba hadi kuvuna,” anasema. Anasema alikuwa akivuna takriban magunia 15-20 ya mahindi kutoka kwa ekari moja huku akiuza kila gunia la kilo 90 kwa kati ya Sh1,800 na Sh2,500, kulingana na hali ya soko mwishoni mwa mwaka. Katika kila msimu, alikuwa akitumia zaidi ya Sh50,000 kwa shughuli zote kuanzia upanzi hadi kuvuna. Mnamo 2018 alipata motisha kutoka kwa moja wa rafiki zake na pamoja na mkewe walikubaliana kubadilisha matumizi ya sehemu moja ya shamba lao la mahindi ili kupanda matunda hayo. Kwa mtaji wa Sh4,000, aliandaa sehemu ya shamba na kununua miche 150 kutoka kwa rafiki yake, ambaye alikuwa ameiandaa kwenye kitalu, kwa Sh20 kwa kila mche. Fedha zilizobaki alizitumia kwa ajili ya shughuli za upanzi na gharama zingine zikiwepo kulipa wafanyi kazi wa vibarua. Shughuli ya upanzi “Nilichimba mashimo yenye ukubwa wa futi moja, yakiwa na nafasi ya mita moja na nusu kati ya shimo moja hadi jingine katika kila mstari, ili kupata nafasi ya kutosha wakati wa kupulizia dawa, kuweka mbolea, kuvuna, na shughuli nyingine muhimu za usimamizi wa shamba. Wakati wa kupanda, nilichanganya udongo na mbolea ya mifugo niliyokusanya kutoka kwa mifugo wangu,” anasema Kemei. Anaongeza kuwa baada ya miezi minne, alipulizia dawa za kuua wadudu, akaweka mbolea ya kukuza mimea huku akipalilia miche yake kwa kuwa mvua ilinyesha ya kutosha. Pia alinunua nguzo za ukubwa wa wastani na kuzitumia kusaidia mimea yake ya matunda ili isidondoke chini wakati matawi yanayobeba matunda yanapokua. Miezi minane baada ya kupanda, Kemei al
BusinessCan We Prepare Children For Financial Success Before They Start Earning?
Ufuoma Paula Onephrojire on the importance of childhood financial literacy, the inspiration behind her book, Operation Viper X7: A Money Adventure, and her mission to raise a financially conscious generation. In a world where children are increasingly exposed to financial pressures, consumerism and unrealistic portrayals of wealth, teaching them how to manage money has become […]
BusinessKonza Technopolis receives customs code from, boosting SEZ operations
KRA has allocated Konza Technopolis a customs code and gazetted it as a new Customs Area, easing trade and supporting the SEZ’s move towards full operations.
BusinessSouth-East 400-km $100m gas pipeline, recipe for region’s industrial growth — SEDC
Will the proposed 400-kilometer South-East Gas Distribution Pipeline Project, with an initial budget of $100m, be a game changer for them?