FRIDAH OKACHI NA WANDERI KAMAU MUDA mfupi baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mfanyabiashara Monicah Kimani, Joseph ‘Jowie’ Irungu, ametoa wimbo mpya wa injili. Jowie aliweka wimbo huo unaoitwa ‘Nakuabudu’ kwenye mtandao wa YouTube, dakika chache tu baada ya mahakama kumpata na hatia ya kumuua Bi Kimani mnamo Septemba 19, 2018.  Wimbo huo unaofahamika […]