NA FRIDAH OKACHI MWANAMUZIKI Wilson Abubakar Radido almaarufu Willy Paul au Willy Pozee, amefichua kwamba kwa miaka saba hajakuwa akikanyaga kanisani. Alidai sababu ilikuwa kuitwa majina yaliyomsababishia msongo wa mawazo. Katika ukurasa wake wa Instagram, Pozee alisema kuwa sasa yuko tayari kusahau matukio yaliyomtendekea. Alisema hayo baada ya kuhudhuria ibada mnamo Januari 28, 2024. Mwanamuziki […]