NA FRIDAH OKACHI MWANAMUZIKI David Mathenge almaarufu Nameless amesema presha za mashabiki kwamba yeye na mkewe Wahu walitarajia mtoto wa kiume hazina maana kwani la muhimu ni afya ya mama mjamzito na mtoto anayembeba tumboni. Nameless alifunguka jinsi alivyoepuka shinikizo kuhusu jinsia ya mtoto wakati mkewe alikuwa amebeba ujauzito wa kitinda mimba wao. Msanii huyo […]