NA SINDA MATIKO BAADA ya Diamond Platnumz kumtambulisha rasmi ex-wake Sarah aliyemfanya kuitunga hiti yake ya kwanza ‘Kamwambie’ iliyoishia kumtoa na kumfanya awe staa aliye kwa sasa, mrembo huyo ametia neno kuhusu yalivyokuwa mahusiano yao. ‘Kwamwambie’ iliyotoka 2009, ni simulizi ya kweli ya mateso ya kimapenzi aliyopitia Diamond baada ya kukataliwa na Sarah. Juzi akitumbuiza […]