NA SINDA MATIKO MCHEKESHAJI Mtumishi amekanusha tetesi za kuwa bifu ndio iliangamiza ushirikiano wake na pacha wake wa vichekesho Mchungaji. Mtumishi na Mchungaji ni kati ya vipaji vya vichekesho vilivyoibuliwa na Churchil Show na kuishia kuwa brandi kubwa. Hata hivyo, katika miaka ya hivi karibuni wachekeshaji hao hawajakuwa wakishirikiana kwenye sanaa yao kama zamani na […]