NA FRIDAH OKACHI MWANAMUZIKI Esther Akoth Kokeyo almaarufu Akothee, amewashauri wanawake dhidi ya kusalia kwenye ndoa ambazo huwa tayari zimeonekana haziwezi kudumu. Kwenye ujumbe aliopakia katika majukwaa ya mitandao ya kijamii, Akothee alisikitika kuwa wanawake wengi wamekuwa wakipoteza maisha sababu ikiwa ni kushikilia kisichowezekana. Hata hivyo aliwashauri walioolewa kuwa tayari kujiondoa kwa ndoa zao, mara […]