NA FRIDAH OKACHI PASTA William Getumbe ambye pia ni mwimbaji wa Injili, amekosolewa vikali na wanamitandao kwa kutoa wimbo mpya wa ‘Yesu Ninyandue,’ wakimtaja kukosa maadili kwenye jamii. Kwenye mahojiano na Taifa Leo kwa njia ya simu, mwanamuziki huyo ambaye ni baba wa watoto wanne amesema kutumia neno ninyandue ni kutokana na kizazi cha sasa kinavyotumia […]