NA MWANAMIPASHO OYA Bwana! Hivi umesikia mikakati ambayo kamati andalizi ya tuzo za Tanzania Music Awards (TMA) 2024 zitakazotolewa Juni 14, imekuja nayo? Nimemsikiza kwa makini sana naibu mwenyekiti wa kamati andalizi ya TMZ, Seven Mosha hadi nikaingiwa na tumbo joto. Kwa nini sio Kenya? Hivi wana sisi tunakwama wapi. Wakati wenzetu ambao Kizungu kinawatatiza […]