NA FRIDAH OKACHI MSHAURI wa masuala ya ndoa Grace Kariuki amekubaliana na kauli yake mwanamuziki Guardian Angel kwamba kuna faida kubwa mwanamume kuoa mwanamke anayemzidi umri. Bi Kariuki alisema faida huja kwa sababu mwanamke anayemzidi mume umri huwa tayari amepitia mambo mengi ya kisichana na moto unaokuja na ujana. Mtaalamu huyo aliambia Taifa Leo kwamba […]