NA WANDERI KAMAU SIKU chache baada ya kuanzisha kanisa lake katika mkahawa mmoja jijini Nairobi, mwanamuziki Sammy Irungu sasa amepuuza vumi kwamba alichukua hatua hiyo kama njia ya kujipatia pesa. Mwanamuziki huyo alifanya ibada yake ya kwanza katika kanisa hilo jipya kwenye mkahawa wa Blue Springs, ulio katika barabara kuu ya Nairobi-Thika, Jumapili, Februari 4. […]