Na SINDA MATIKO Butita awaza kuliuza gari lake la 5M Jaguar XE kisa madai ya ‘limama’ TOKA penzi lake na mchekeshaji mwenza Mamitto lilipoingia nyongo na kuvunjika baada ya takriban miaka saba, mvunja mbavu Eddie Butita kahusishwa na wanawake kibao. Butita amekuwa akihusishwa kuwa kwenye mapenzi na influensa Sadia Said ingawaje wawili hao licha ya […]