NA FRIDAH OKACHI MWIGIZAJI Caroline Muthoni Ngethe almaarufu Carrol Sonie amezungumzia jinsi alivyokabiliana na msongo wa mawazo uliosababisha mabadiliko ya mwili wake baada ya kuachana na mchekeshaji David Oyando almaarufu Mulamwah. Mwigizaji huyo alikiri kuathirika kisaikolojia kiasi kwamba alilazimika kutafuta usaidizi wa mtaalamu. Kulingana na mama huyo wa mtoto mmoja, kila akijiangalia kwa kioo, aliona […]