NA FRIDAH OKACHI MCHEKESHAJI Zachariah Kariuki almaarufu KK Mwenyewe ameruhusiwa kwenda nyumbani baada ya kutafuta tiba katika hospitali kutokana na kula pilipili kilo moja. Mchekeshaji huyo aliambia Taifa Leo Dijitali alikula pilipili hizo ili kutimiza ahadi aliyokuwa ametoa kwa mashabiki wa mpira. Mnamo Alhamisi, aliapa kula kilo nzima ya pilipili ikiwa timu anayoshabikia, Manchester United […]