NA FRIDAH OKACHI MWANAMUZIKI wa mtindo wa Mugithi Samuel Muchoki Ndirangu almaarufu Samidoh alishangaza mashabiki wake kwa kumfokea shabiki wake wa Facebook aliyemshtumu kuharibu maisha ya ‘aliyekuwa mke wake’, Edday Nderitu. Wanamtandao hao waliofuata matukio hayo, walionekana kushtuka wengine wakifurahia cheche za majibizano kutoka kwa mwimbaji huyo. Mwanamuziki huyo tajika, alimtetea mkewe baada ya shabiki mmoja […]