NA KALUME KAZUNGU MJA anaposikiliza au kupokea tumbuizo mbalimbali mara nyingi hujihisi ameburudika na kuliwazika. Tumbuizo au muziki mara nyingi huambatanishwa au kusindikizwa na sauti za ala aina aina, ikiwemo nzumari au zumari, ngoma, marimba, filimbi, njuga, kinubi, tarumbeta, kayamba na nyinginezo nyingi. Wanaoburudishwa hudhania kuwa ni jukumu rahisi kwa mtumbuizaji kuvipiga au kuvipuliza vifaa […]