NA SINDA MATIKO NDIVYO hivyo. Kwa mujibu wa ripoti ya hivi majuzi kuelekea msimu wa Pasaka, kutoka kwa tuvuti ya kupakua muziki, Spotify, staa wa nyimbo za injili kutoka Tanzania, Christian Shusho ndiye msanii wa injili anayesikizwa sana hasa na kizazi cha Generation Z hapa nchini. Shusho ameondokea kuwa kipenzi cha Wakenya na kilele chake […]