NA FRIDAH OKACHI MKE wa mwanamuziki wa nyimbo za injili Guardian Angel amewajibu wanaomkejeli kuwa atazeeka bila kujuta. Wiki hii, wanamitandao wamekuwa wakichapisha picha ya familia yake na kuzua mjadala mtandaoni. Picha hiyo inaonyesha Esther Ngenyi Musila, 53, akiwa amesimama mkono wa kushoto. Bintiye mwenye umri wa miaka 28 katikati na mwanamuziki Guardian, 32, akiwa […]