NA SINDA MATIKO MWANAMUZIKI Habida Moloney kafichua kuwa operesheni ya koo aliyofanyiwa mwezi Februari nchini India kuondoa uvimbe kwenye koromeo lake ilimdona kiasi kisichopungua Sh500,000. Februari, staa huyo alisafiri hadi nchini India kwa ajili ya operesheni hiyo spesheli anayosema bila hiyo, alikuwa amepoteza tayari uwezo wake wa kuimba kabisa. Tayari amepona kiasi cha kuweza kuzungumza vyema […]