NA SINDA MATIKO MWANAMUZIKI Habida Moloney amefichua kuwa oparesheni ya koo aliyofanyiwa mwezi uliopita (Februari 2024) India,  kuondoa uvimbe kwenye koromeo lake ilimdona kiasi kisichopungua nusu milioni. Februari, staa huyo alisafiri hadi India kwa ajili ya oparesheni hiyo spesheli anayosema bila hiyo, alikuwa amepoteza tayari uwezo wake wa kuimba kabisa. Tayari amepona kiasi cha kuweza kuzungumza […]